

Aidha,Mafunzo hayo yamelenga kuwakumbusha Watendaji namna ya kuzingatia haki za binadamu na misingi ya utawala bora wakati utekelezaji wa majakumu yao ikiwemo ushirikishaji wananchi katika masuala mbalimbali yanayowahusu
Pia,Watendaji hao wamepata nafasi ya kuuliza maswali sambamba nakuwasilisha changamoto wanazokutana nazo wakati wa kutekeleza majukumu yao.
0 comments:
Post a Comment