Magazetini leo Jumatatu November 1 2021
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2021
Bofya Hapa Kutazama <<Matokeo hapa>>
Ili kuwa wa Kwanza kusoma habari na matukio tunakushauri...
Sunday, 31 October 2021
SIMBA YABANWA MBAVU...YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA COASTAL UNION

Na Emmanuel Mbatilo - Dar es salaam
KLABU ya Simba Sc imeshindwa kufurukuta mbele ya wagosi wa kaya Coastal Union kwenye ligi ya NBC.
Simba imelazimishwa sare kwenye mchezo huo ambao ulikuwa mchezo wa aina yake hasa timu zote mbili katika kipindi cha kwanza kucheza kwa kushambuliana japo kwa upande...
Picha : MAHAFALI YA 23 YA SHULE YA SEKONDARI DON BOSCO DIDIA YAFANYIKA...WAZAZI WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO
Wahitimu wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Don Bosco Didia-Shinyanga wakiwa katika picha pamoja.
Na Josephine Charles - Shinyanga
Wazazi na Walezi wametakiwa kutekeleza Wajibu wao wa malezi ili kuepusha watoto wasijiingize katika matendo yasiyofaa kwenye jamii.
Hayo yamesemwa Oktoba...
VIBOKO WA PABLO KUTAMBULIWA KISHERIA KAMA BINADAMU

Mahakama ya nchini Marekani imepitisha sheria ya kuwatambua Viboko waliokuwa wanamilikiwa na muuzaji hatari wa madawa ya kulevya nchini Kolombia, Pablo Escobar kama watu, kufuatia kesi dhidi ya Serikali ya nchi ya Kolombia juu ya kuwaua na kuwafanya viboko hao wawe tasa ili wasiweze kuzaliana zaidi...
MITANDAO YA KIJAMII NA CHANGAMOTO ZA UTOAJI WA CHANJO YA UVIKO-19 TANZANIA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Ugonjwa wa UVIKO-19 umesababisha madhara makubwa kwa watanzania. Athari za ugonjwa huu ni pamoja na vifo, gharama za matibabu, pamoja na kudorora kwa shughuli za kiuchumj. Bahati mbaya, UVIKO-19 hauna dawa mpaka sasa. Njia pekee ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi...
ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAENDELEA KUONGEZEKA
Na Dinna Maningo, TARIME.
MABADILIKO ya hali ya hewa yamesababisha athari za Kiuchumi na Kijamii huku Serikali ya Nchi ya Tanzania ikitumia fedha nyingi kugharamia majanga vikiwemo vifo,upotevu wa mali,uharibifu wa mazao,mifigo miundombinu ya barabara,maji na umeme.
Sekta zote za kiuchumi na kijamii...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OKTOBA 31,2021....HABARI KUBWA MATOKEO DARASA LA SABA
Magazetini leo Jumapili October 31 2021..
Bofya Hapa Kutazama Matokeo ya Darasa la Saba <<Matokeo hapa>>
Bofya Hapa Kutazama Matokeo ya Darasa la Saba <<Matokeo hapa>>
Bofya Hapa Kutazama Matokeo ya Darasa la Saba <<Matokeo hapa>>
Baraza...