Friday, 11 June 2021

Picha : MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI, AMKABIDHI KITENGE

...



Mjane wa  Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli, nyumbani kwake jijni Dar es salaam leo. Mama Maria, aliyeongozana na mjukuu wake Bhoke Nyerere, alimkabidhi Mama Janeth Kitenge alipofika nyumbani hapo.



Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger