Friday, 15 January 2021

MSICHANA ALIYESHIKA NAFASI YA KWANZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 AFUNGUKA

...

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Canossa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020 Justina Gerald (15) amesema anataka kuwa mhandisi wa mafuta.

Mbali na kuwa wa kwanza kwa wasichana katika mtihani huo, Justine aliyesema siri ya kufaulu ni kumtanguliza Mungu na kuweka malengo katika masomo, ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

“Nataka kuwa mhandisi wa mafuta ya petroli kwa sababu nchi zinazoendelea kama Tanzania ndiyo zinategemea kukuza uchumi wake,” amesema Justina.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger