Friday, 20 December 2019

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa Tahadhari Ya Mvua Kubwa Kuanzia Kesho Jumamosi

...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa 15 nchini kuchukua tahadhari kutokana na mvua kubwa inayotarajia kunyesha.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Ijumaa Desemba 20, 2019 imeitaja mikoa hiyo ambayo mvua hizo zinatarajia kunyesha kesho Jumamosi ni; Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Singida, Dodoma, Lindi, Mtwara, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba, Zanzibar.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger