Katika sherehe za maadhimisho ya
Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Dodoma mwaka 2015 , Mhe. Balozi wa
Jamhuri ya watu wa china aliahidi kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya
vizuri zaidi katika masomo ya Sayansi katika Mtihani wa kumaliza Kidato
cha Nne mwaka
2014. Wanafunzi sita (6) walipatiwa zawadi hizo kwa niaba ya wenzao.
Kwa sasa zawadi hizo zimeshatumwa
katika shule ambako wanafunzi hao walisoma. Kwa tangazo hili, wanafunzi
hao wanatakiwa kufuatilia zawadi zao kwa wakuu wa shule walizosoma na
kuhitimu kidato cha Nne Mwaka 2014. Majina ya wanafunzi hao ni kama
ifuatavyo:
0 comments:
Post a Comment