HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO
>>>>>BONYEZA HAPA<<<<<...
Monday, 31 October 2016
BREAKING NEWS: BONDIA MASHALI AFARIKI DUNIA - AUWAWA, MWILI WAKE WAOKOTWA VICHAKANI DAR
Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye.
Taarifa
zinaeleza ameuwawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuokotwa vichakani
maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia le...
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)

Rais
wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe
30 Oktoba, 2016 amemteua Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza...
Rais Magufuli kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya Kuanzia Kesho

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe
31 Oktoba, 2016 ataanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya
kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.
Rais
Magufuli anatarajiwa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa...
Basi La Abiria Lateketea Kwa Moto Kimara Stop Over Jijini Dar,Mtu mmoja Afariki, 16 Wajeruhiwa

Basi lenye namba za usajili T990 AQF mali ya kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kuja jijini Dar, jana liliteketea
kwa Moto maeneo ya Kimara Stop Over-Suka, mara baada ya kugongana na
Lori lililokuwa limebeba shehena ya mifuko ya Cement (namba zake za
usajili...
Sunday, 30 October 2016
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU SAUT 2016/2017,BOOM LARUDISHWA 8500 KWA SIKU

Kama utahitaji kuangaliziwa jina lako kwa "usahihi" na "kasi ya ajabu" (ambapo utajibiwa ndani ya dk 1 tu) kama limepata mkopo tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA EXAM NAMBA YAKO YA FORM 4 NA MWAKA ULIOMALIZA MFANO:S3409.0012.2013-HESLB KWENDA NAMBA 0652740927
2.HUDUMA...
Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto
Basi la Kampuni ya Safari njema lililokuwa likitokea Dodoma
kuelekea Dar es Salama. Limegongana na Lori katika eneo la Kimara
Stopover.
Kuna ajali mbaya
sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha
lori na Basi...
Saturday, 29 October 2016
Taarifa ya Mamlaka ya Dawa na Chakula TFDA kuhusu Dawa bandia zilizokamatwa

Na Ally Daud-Maelezo
MADAWA
bandia na yasiyo sahihi kwa matumizi ya binadamu yamekamatwa maeneo ya
Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini baada ya kufanyika ukaguzi maalum
wa kutafuta dawa bandia katika maeneo hayo iliyofanyika hivi karibuni.
Hayo
yamesemwa na Mkurugenzi...
Friday, 28 October 2016
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU UDOM BATCH 3 &4 2016/2017

SELECTED CANDIDATES TO JOIN VARIOUS UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES 2016.2017 BATCH 3
SELECTED CANDIDATES TO JOIN VARIOUS UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES ACADEMIC YEAR 2016.2017 BATCH ...
MZUMBE: Third Batch of Students Selected to Join Various Undergraduate programmes at Main Campus and Mbeya Campus College for Academic Year 2016/2017

CONGRATULATIONS AND WELCOME TO MZUMBE UNIVERSITY
The following applicants have been selected to join various
undergraduate programmes (Degree, Diploma & Certificate) at Mzumbe...
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA(7)2016

Serikali
imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016
ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza
kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga
...
Taarifa kutoka Ikulu: Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27
Oktoba, 2016 amemteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji
wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Bw. Samwel Peter Kamanga ameteuliwa kushika wadhifa huo kuanzia tarehe 27 Oktoba,...
UDOM:TAARIFA MAALUM KWA WANAFUNZI WA UDOM

PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:
ALL STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 BY 28TH
OCTOBER 2016. STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL
NOT BE ALLOWED TO CONTINUE WITH THEIR STUDIES.PAYMENT MUST BE MADE
BEFORE...
Mafanikio Ya Kiuchumi Kutokana Na Jitihada Mbali Mbali Zilizofanywa Na Serikali Ya Awamu Ya Tano Katika Kipindi Cha Mwaka Mmoja - Benki Kuu Ya Tanzania
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli,
alipoingia madarakani mwezi Novemba 2015 aliendeleza
jitihada za kukuza uchumi wa nchi yetu kwa kuweka mkazo na kutoa maagizo kwenye
maeneo kadhaa yakiwemo; kuongeza nguvu kwenye ukusanyaji wa...