Katika pitapita yangu,Nimenusa sehemu na kufanikiwa kukutana na system ambayo ni ya online kwa ajili ya walimu wote kuapply online kwa kusubmitt vyeti vyako vyote.
Nimejiuliza sana,je ni kweli walimu kuanza kufanyiwa interview kama kozi zingine?
Maswayetu blog bado tunalifuatilia hili ktk ofisi za TAMISEMI kukuletea taarifa kamili.
Online Teachers Employment Application System-OTEAS
www.osaistz.com
ONLINE TEACHERS EMPLOYMENT APPLICATION SYSTEM,THIS IS THE COMPUTER SYSTEM FOR MONITORING
0 comments:
Post a Comment