Friday 4 March 2016

Waziri Jenista Mhagama Amteua Dr. Wangwe Kuwa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF,Hata Hivyo Uteuzi Huo UMETENGULIWA Mpaka Utakapotangazwa Tena

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi wa shirika hilo (hawapo pichani ) kabla ya uteuzi huo kutenguliwa.

Masaa  kadhaa baada  ya  uteuzi huo, Waziri mhagama alitangaza  kutengua uteuzi huo kwa madai kwamba kuna baadhi ya taratibu hazijamilika
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger