Friday 25 September 2015

OFFICIAL:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOSEPH UNIVERSITY 2015/2016-TAWI LA DAR,ARUSHA,SONGEA NA BOKO

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu, Siku chache baada ya ku-LEAK kwa matokeo ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha ST.JOSEPH NA MATAWI YAKE YOTE  2015/2016 

hatimae  leo tarehe 25/9/2015 Chuo kikuu ST.JOSEPH kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki.

 Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.

  Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU ST.JOSEPH.
ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834
   MFANO(JOHN JOHN ST.JOSEPH SELECTION
   2015/2016)
 
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;
    -MPESA(0768260834)
    -TIGO PESA(
0652740927) 

3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA
   ZIJIBIWE

 4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE.

KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI

BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO 
SJCET * SJCIT * SJCAST * SJUCMC * SJUIT-AC * SJUCHAS 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger