Monday 21 September 2015

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI 2361 KUTOKA NACTE AMBAO WAMEKOSEA APPLICATION 2015/2016

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Habari yenu,
Hatimae NACTE wametoa majina ya wanafunzi ambao baada ya kufanya analysis katika application zao,imeonekana kuwa kuna baadhi ya information wamekosea na nyingine hazionekani. 


Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia watu majina yao endapo kama na wewe ni mmoja wapo uliekosea.

Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834
    mfano:PAUL JOHN(NACTE 2015)

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO
   UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA (0768260834 )
    au 0652740927(TIGO PESA)

3.TAFADHALI TUMA KWANZA PESA NDIO UJIBIWE.
4.SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE,NAOMBA UTUAMINI.

Ili kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini,
MAJINA KUTOKA NACTE WALIOKOSEA APPLICATION 2015/2016
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger