Monday 14 September 2015

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA SEPTEMBER 2015/2016

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                        
Habari zenu kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG kazi yetu kubwa ni kukuhabarisha wewe mpenzi na mtanzania wa blog bhii pendwa hapa TANZANIA na Duniani kwa ujumla.

Hatimae NACTE wafanya selection za wanafunzi walioomba vyuo vya afya kuanzaia april to now 2015/2016.

Ili uweze kuangalia majibu yako fanya yafuatayo;

1.ANDAA EMAIL YAKO ULIYOTUMIA WAKATI UNAFANYA
   APPLICATION NA PASSWORD YAKO.


2.TEMBELEA http://41.93.31.136:8080/noas/Login.jsp
3.IKIFUNGUKA BONYEZA PROFILE
   Baada ya hapo utaona UMEANDIKIWA SELECTED au NOT
   SELECTED

4.ENDAPO UTAANDIKIWA NOT SELECTED FUTA
    MACHAGUO YAKO YOTE CHAGUA VYUO VINGINE
    UPYA.

KARIBU MASWAYETU BLOG TEAM

MFANO WA PROFILE UTAKAVYOANDIKA KAMA HUJACHAGULIWA

NOT SELECTED
We are sorry to inform you that you have not been selected to any of your choices made below due to various reasons, for more information click here.
Tunasikitika kukujulisha kwamba hujachaguliwa katika kozi yoyote uliyoomba kutokana na sababu mbalimbali, tafadhali bofya hapa kwa maelekezo zaidi.

Programme Choices:

CHOICE INSTITUTE NAME PROGRAMME NAME ELIGIBILITY STATUS REMARKS
1 CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE KIBAHA - KIBAHA ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE ELIGIBLE Meets Requirements
2 CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MVUMI - DODOMA ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE ELIGIBLE Meets Requirements
3 CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MAFINGA - IRINGA ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE ELIGIBLE Meets Requirements
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger