Wednesday 30 September 2015

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU TUMAINI UNIVERSITY 2015/16

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Tumaini University Logo
Habari yenu,  
hatimae  Chuo kikuu TUMAINI UNIVERSITY NACHO kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki kwa kozi za digrii mbalimbali mwaka wa masomo 2015/16




 Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.

  Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU TUMAINI UNIVERSITY
ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834
   MFANO(JOHN PAUL TUMAINI 2015/2016)
 
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;
    -MPESA(0768260834)
    -TIGO PESA(
0652740927) 

3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA
   ZIJIBIWE

4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE.

THESE ARE SELECTED DEGREE APPLICANTS TO JOIN TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM COLLEGE 2015/2016 
<<CLICK HERE>> FOR NAMES
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger