Monday, 31 August 2015
WAZIRI WA ELIMU MSTAAFU JOSEPH MUNGAI AJIUNGA CHADEMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM
na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA
/CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni
Sunday, 30 August 2015
HAYA HAPA MAJINA WANAFUNZI WA DIGRII,DIPLOMA NA CHETI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JESHI LA POLISI 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tangazo la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi.Bonyeza hapa kupata majina hayo.
Tangazo la nafasi za kazi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani.
Bonyeza UNHCR vacancies
Tangazo la Kazi, Usaili na Mafunzo
Tangazo lakuitwa katika usaili Jeshi la Polisi Tanzania kwa wahitimu wa shahada, stashahada na astashahada.Bonyeza hapa kupata orodha ya majina hayo na mahali usaili utakapofanyika.Tangazo la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi.Bonyeza hapa kupata majina hayo.
Tangazo la nafasi za kazi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani.
Bonyeza UNHCR vacancies
Friday, 28 August 2015
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUJAZA FOMU BODI YA MIKOPO 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya serikali kukaa kimya kwa mda mrefu atimae imetangaza Majina ya wanafunzi waliokosea kujaza fomu za mikopo.
Kama kawaida yetu TANGA YETU &MASWAYETU BLOG Tupo hapa
kuhakikisha unapata habari kwa wakati,endapo utataka kuangaliziwa jina lako umechaguliwa
shule gani fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0652740927mfano:PAUL
PAUL(helsb 2015/16)
Thursday, 27 August 2015
Wednesday, 26 August 2015
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu yafutayo ni majina ya vijana waliomaliza kidato cha nne 2014,kidato cha sita 2014 jkt 2015 waliofanya usaili na kuchaguliwa kujiunga na jeshi la polisi CHUO CHA POLISI MOSHI. Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia watu majina yao kama utakuwa umechaguliwa kujiunga na jeshi la polisi
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO
UTAITUMA KWA MPESA AU TIGO PESA KWENDA
NAMBA:-0768260834(MPESA)
-0652 3.UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA TU.
KARIBU SANA MASWAYETU BLOG TEAM kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini;

Tangazo la Wito Chuo Cha Polisi Moshi
Tangazo la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi.
Bonyeza hapa kupata majina hayo.
Tuesday, 25 August 2015
MH.LAURANCE MASHA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyekuwa waziri wa Mashauri ya Ndani ambae sasa ni mwanachama wa
CHADEMA Mh Laurance Masha amekamatwa jioni ya leo na jeshi la polisi
nchini.
Tukio la kukamatwa Masha limefuatia kukamatwa kwa wanachama 18 waliokuwa kwenye harakati za kawaida za uenezi wa chama chao katika kampeni ya kawaida ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu ambayo haizuiwi na sheria yoyote ile nchini.
Baada ya kukamatwa vijana hao na kufikishwa kituo cha Ostarbay, Mh Masha aliamua kwenda kufuatilia sababu za kukamatwa kwa wanaukombozi hao, ajabu alipofika tu nae akatiwa mbaroni.

Monday, 24 August 2015
MPYA:UFUNGUZI RASMI WA UKAWA NI TAREHE 29/8/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Chama cha UKAWA rasmi kinatarajia kufungua kampeni zake siku ya tarehe 29/8/2015 siku ya JUMAMOSI,hivyo ukiwa kama mwana mageuzi ya kweli unaombwa kujitokeza ili ushuhudie nini UKAWA imekuandalia kwa miaka mitano ijayo.
Tulianza na mungu,Tupo na mungu na tutamaliza na mungu.

Sunday, 23 August 2015
SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO(5) 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UTEUZI KIDATO CHA 5 – AWAMU YA PILI 2015. Ufaulu wa watahiniwa Kidato cha Nne kwa mwaka 2014 kuanzia daraja la Distinction hadi Credit yaani GPA
UTEUZI KIDATO CHA 5 – AWAMU YA PILI 2015. Ufaulu wa watahiniwa Kidato cha Nne kwa mwaka 2014 kuanzia daraja la Distinction hadi Credit yaani GPA