INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM
na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA
/CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampen...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tangazo la Kazi, Usaili na Mafunzo
Tangazo lakuitwa katika usaili Jeshi la Polisi Tanzania kwa wahitimu wa shahada, stashahada na astashahada.Bonyeza hapa kupata orodha ya majina hayo na mahali usaili utakapofanyika.
Tangazo
la Wito chuo cha polisi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya serikali kukaa kimya kwa mda mrefu atimae imetangaza Majina ya wanafunzi waliokosea kujaza fomu za mikopo.
Kama kawaida yetu TANGA YETU &MASWAYETU BLOG Tupo hapa
kuhakikisha unapata habari kwa wakati,endapo utataka kuangaliziwa jina lako umechaguliwa
shule...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu yafutayo ni majina ya vijana
waliomaliza kidato cha nne 2014,kidato cha sita 2014 jkt 2015
waliofanya usaili na kuchaguliwa kujiunga na jeshi la polisi CHUO CHA
POLISI MOSHI.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG
tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia watu majina...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyekuwa waziri wa Mashauri ya Ndani ambae sasa ni mwanachama wa
CHADEMA Mh Laurance Masha amekamatwa jioni ya leo na jeshi la polisi
nchini.
Tukio la kukamatwa Masha limefuatia kukamatwa kwa wanachama 18 waliokuwa
kwenye harakati za kawaida za uenezi wa chama...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Chama cha UKAWA rasmi kinatarajia kufungua kampeni zake siku ya tarehe 29/8/2015 siku ya JUMAMOSI,hivyo ukiwa kama mwana mageuzi ya kweli unaombwa kujitokeza ili ushuhudie nini UKAWA imekuandalia kwa miaka mitano ijayo.
Tulianza na mungu,Tupo na mungu na tutamaliza na mung...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UTEUZI KIDATO CHA 5 – AWAMU YA PILI 2015. Ufaulu wa watahiniwa Kidato
cha Nne kwa mwaka 2014 kuanzia daraja la Distinction hadi Credit yaani
GPA
BONYEZA HAPA KUSOMA TAARIFA KAMILI KUHUSU SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO 201...