
Na Mariam Kagenda - Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa amefanya ukaguzi ujenzi wa vyumba 16, jengo la utawala na matundu 18 ya vyoo shule mpya ya awali na Msingi Nyakahita iliyopo Kata ya Kanoni wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera.
Akiongea na wananchi wa kata hiyo mara baada ya kukagua...