Na Mariam Kagenda - Kagera
Akina mama wajawazito nchini wametakiwa kukaa katika mazingira yasiyowaletea msongo wa mawazo kwa kipindi chote cha ujauzito na unyonyeshaji ili kufanya maziwa yatoke vizuri na mtoto kupata lishe bora na kukua vizuri.
Wito huo umetolewa leo na Naibu Waziri...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro vijijini na Mvomero na kukamata jumla ya gunia 131...
Watu watatu wakazi wa Lugala, Kata ya Manzase mkoani Dodoma, wamefariki dunia jana Jumanne usiku baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wamepanda kutumbukia kwenye korongo.
Imeelezwa kuwa dereva wa gari hilo alishindwa kupandisha mwinuko uliopo kwenye barabara kuu katika eneo hilo hali iliyosababisha...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi ni miongoni mwa taasisi mbalimbali za binafsi na serikali zinazoshiriki katika Maonesho ya Wakulima maarufu kama Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma na kuwapa fursa wananchi hasa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Kati kupata elimu ya Mpiga Kura ambayo...
Diwani wa kata ya Bwilingu halmashauri ya Chalinze Mh. Nassar Karama(suti nyeusi) akizungumza na walimu
NA. ELISANTE KINDULU, CHALINZE
DIWANI wa kata ya Bwilingu ,katika halmashauri ya Chalinze mkoa wa Pwani, Mh. Nassar Karama amesisitiza walimu kufanya kazi kwa bidii na kufuata kanuni za Utumishi...
Kama ilivyo kauli mbiu “CHAGUA TUKUPE” sasa watu wamechagua na wamepewa kwani Mkazi mmoja kutoka jijini Dar-es-salaam ameweza kujishisdia kiasi cha milioni 14 baada ya kubashiri na kampuni ya kibabe na inayotoa ODDS KUBWA na bomba kabisa nchini Tanzania.
Mteja huyo alifanikiwa kuchagua...
Habari mteja wa Meridianbet, zikiwa zimebaki siku chache Ligi mbalimbali barani Ulaya kurejea, wababe wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wamekuletea promosheni mpya ijulikanayo kwa jina la “Vuna Zaidi na Airtel Money” ambayo imeanza leo hii.
Uzinduzi huo ulifanyika leo hii majira ya saa...
Na Mwandshi Wetu-DODOMA.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA imezitaka Taasisi zote za Umma nchini kuhakikisha zimepatiwa mafunzo elekezi kwa ajili ya utumiaji wa Mfumo mpya wa Ununizi wa Umma kwa njia ya mtandao (NeST).
Hayo yamesemwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Bw. Eliakim Maswi wakati...
Wananchi wa Kitongoji cha Kinyika, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni wamelalamikia Viongozi wa Serikali kitongoji hapo kwa ucheleweshwaji wa ujenzi wa Zahanati ikiwa walishachangishwa na kutoa michango yao.
Wananchi hao wametoa malalamiko yao mbele ya Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius...