Thursday, 16 April 2020
Barack Obama amuunga mkono Biden kuwania katika uchaguzi wa urais Marekani
VIBAKA WATUMIA FURSA YA CORONA KUIBA KOKI ZA NDOO STENDI YA MABASI
Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kushoto akiwa na Mganga Mkuu wa Jiji la Tanga (CMO) kulia wakiwa stendi za mabasi Jijini Tanga wakiangalia namna ya
utekelezaji wa maagizo ya wataalamu wa afya namna ya kuchukua hatua za kukabiliana na tahadhari za ugonjwa wa Corona.
MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia akiteta jambo na Afisa Mtendaji wa Kata ya Ngamiani Kati wakati wa ziara yake
VIBAKA wametumia fursa ya uwepo wa ugonjwa wa Corona kuiba Koki zilizowekwa kwenye ndoo za maji kwenye stendi ya mabasi madogo ya ngamiani Jijini Tanga na hivyo kusababisha kukosekana kwake na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji.
Hayo yalibainishwa na Msimamizi wa magari madogo maarufu Daladala kwenye stendi hiyo Ally Kibaya wakati wa ziara ya Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa wakati alipokwenda kuangalia utekelezaji wa maagizo ya wataalamu wa afya namna ya kuchukua hatua za kukabiliana na tahadhari za ugonjwa wa Corona.
Koki hizo na ndoo zilitolewa na chama cha wamiliki wa mabasi madogo (Taremia) na Chama cha Wamiliki wa Mabasi Makubwa (Taboa) kuona namna ya kuweza kupambana na ugonjwa wa Corona walipotoka hapo Taremea wakanunua ndooo za kutosha na kutafuta fundi wa kuweka koki na kufanya uzinduzi ambapo kila stendi waliweka ndoo sita kwa ajili ya kuwekwa kwenye maeneo ya stendi hiyo ya mabasi ili kuwawezesha wananchi kuweza kunawa na vitakasa mikono.
Alisema kwamba hali hiyo imewapa wakati mgumu kwani kuibiwa kwa koki hizo kumepelekea maji kushindwa kukaa kwenye ndoo na hivyo abiria kukosa eneo la kunawia mikono ili kuweza kujikinga na ugonjwa huo.
“Uibaji wa koki hizo umesababisha ndoo kushindwa kukaa na maji na hivyo kuwaweka kwenye wakati mgumu huku wakimuomba mkuu wa wilaya kulishughulikia tatizo hilo ambalo linaweza kuleta athari”Alisema Msimamizi huyo.
Awali akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa alisema wizi huo ni hujuma dhidi ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona ambapo alionya tabia hiyo na kiwataka wanaohusika kutokurudia na vitendo vya namna hiyo.
Aliita mkutano wa mabasi na Alisema kwamba mtu anayekwamisha mapambano hayo dhidi ya Corona hatutawanyamazia watakaobainika wataendelea kuchukuliwa hatua kali kwani wanadhoofisha juhudi za kupambana na ugonjwa huo ambao kwa sasa unatikisha dunia.
Mkuu huyo wa wilaya alisema katika vita dhidi ya mapambano ya ugonjwa huo tusifanya hujuma hasa kwa vile vitu ambavyo vinatolewa na watu kwa ajili ya kukabiliana na janga hili ambapo alisema kitendo hicho hakina tofauti na laana
“Watu wamechangishana kutusaidia kwa lengo la kuweka usafi hasa kwenye maeneo ya stendi lakini unakuja kuhujumu koki hilo sio suala nzuri hivyo niwatake muacha mara moja tabia hiyo kwani tutakaowabaini watachukuliwa hatua”Alisema
Taarifa Ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza
Wednesday, 15 April 2020
Quality Assessor at Steel Masters Ltd
Quality Assessor Steel Masters Ltd is seeking a young, talented and passionate individual for the position of Quality Assessor. Applicants must have a minimum of 3 years experience. Job Responsibility: Checking and assessing the quality of mild steel ferrous scrap. Analysis of molten metal elements using a high-tech Spectrometer Electronic Understanding the usage of Argon gas to achieve… Read More »
The post Quality Assessor at Steel Masters Ltd appeared first on Udahiliportal.com.
Workshop Foreman at Frankfurt zoological Society – Tanzania
Workshop Foreman Description Location: Matambwe, Nyerere National Park Reports to: Deputy Project Leader, Selous Conservation Project FZS Vision in Tanzania: FZS is committed to maintaining biodiversity and conserving wildlife and ecosystems in protected areas and outstanding wild places of the Serengeti, the Selous and the Mahale ecosystems in partnership with the Government of the United Republic of Tanzania… Read More »
The post Workshop Foreman at Frankfurt zoological Society – Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.
Picha : MWILI WA MWANAHARAKATI JOSEPHAT TORNER KUZIKWA KESHO IMALAMATE BUSEGA SIMIYU
Dar es Salaam yatenga vituo 25 vya kukusanya sampuli za vipimo vya Corona....Tazama Hapa
Vituo hivyo ni pamoja na hospitali za rufaa za mikoa, vituo vya afya na hospitali binafsi.
==>>Msikilize hapo chini
WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAONGEZEKA NA KUFIKA 225, MMOJA KAFARIKI LEO

Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu Ken Walibora Afariki Dunia
Prof Walibora aligongwa na gari katika barabara ya Landhies, jijini Nairobi Ijumaa na mwili wake umekuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Kenyatta (KNH).
Kifo chake ni pigo kubwa kwa tasnia ya uandishi na kwa watetezi wa lugha ya Kiswahili. Ingawa anakumbukwa sana kama mwandishi wa vitabu, amekuwa pia mtangazaji, mwandishi na msomi wa lugha ya Kiswahili.
Rais Kenyatta ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu.
Amemsifu Prof Walibora kama mtangazaji na mwandishi vitabu aliyebobea na ambaye kazi zake za fasihi zitaendelea kuhamasisha vizazi na vizazi.
TCRA YAWATAKA WANANCHI 'KU - SCREEN SHOT' TAARIFA ZA HOVYO KUHUSU CORONA MITANDAONI....MAADMIN KUCHUKUA TAHADHARI



MWANDISHI MASHUHURI WA RIWAYA PROFESA KEN WALIBORA AFARIKI DUNIA….NI YULE ALIYESIFIKA KWA KITABU YA ‘SIKU NJEMA’
Riwaya ya Siku Njema ilitafsiriwa kwa Kiingereza na kuwa A Good Day
Ken Walibora (kushoto) atakumbukwa na wengi kwa mchango wake katika kuendeleza lugha ya Kiswahili
Tawasifu ya Naskia Sauti ya Mama pia ilishinda Tuzo ya Fasihi ya Jomo Kenyatta
Kitabu cha Siku Njema kilitumiwa kufundishia fasihi kwa miaka mingi shule za upili KenyaWILFRED LWAKATARE ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA UBUNGE

DOWNLOAD - PAKUA APP YA MALUNDE 1 BLOG ...TUWE TUNAKUTUMIA HABARI ZOTE BURE MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO

Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu. Hii ndiyo mpya kabisa,ina alama hii ↡↡
ANUSURIKA KUFA KWA KIPIGO AKITUHUMIWA KUIBA NDOO YA KUNAWA MIKONO KUJIKINGA CORONA SHINYANGA MJINI
Mmoja wa wananchi akimdhibiti "kibaka" asikimbie baada ya kudaiwa kuiba ndoo ya maji kwa ajili ya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. (Picha na Suleiman Abeid, Timesmajira, Shinyanga)
































