Tuesday, 8 May 2018
MPYA:BODI YA MIKOPO IMETANGAZA RASMI SIFA NA VIGEZO VYA KUOMBA MKOPO 2018/2019
Sunday, 15 April 2018
BREAKING NEWS:BODI YA MIKOPO IMETANGAZA MAOMBI YA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2018/2019
Thursday, 12 April 2018
MWONGOZO NA USHAURI WA KOZI ZENYE SOKO KULINGANA NA MCHEPUO WAKO(COMBINATION) ZA KUCHAGUA/KUSOMEA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2018-2019
Vitu nitakavyozungumzia;
Bsc. Medical laboratory science
kozi hizo ni;
All field of Engineering hasa;
Mwisho kabisa napenda kusema kwamba kuna kozi nyingi na mbalimbali katika vyuo vikuu hapa Tanzania,lakini kozi zilizotajwa hapo juu ni kozi zenye soko katika kujiajiri na kuajiriwa ndani na nje ya Tanzania.
website:www.maswayetublog.ml
email:innocentlugano60@gmail.com
watsup and telegram:+255768260834
Sunday, 8 April 2018
MICHANGO MBALIMBALI YAENDELEA KUTOLEWA SHULE YA MASWA GIRLS KWA AJILI YA KAMBI YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA MKOA WA SIMIYU
Wadau mbalimbali ktk mkoa wa Simiyu wachangia kambi ya kitaaluma ya kidato cha sita iliyopo ktk shule ya sekondari ya wasichana ya Maswa.
Wadau hao ni Ofisi ya Mkuu wa mkoa Sh Milioni 10 kwa ajili ya kuongezea posho kwa walimu 40 wanaowafundisha,Sh M 1.1 kwa ajili ya mahitaji maalumu kwa wanafunzi wa kike,Mbunge wa Jimbo la Itilima Mh Njalu katoa kg 500 za mchele,Mkurugenzi Meatu kg 300 za mchele,Mkurugenzi Itilima Kg 100 za mchele,Mkurugenzi halmashauri ya mji Bariadi kg 100 za mchele,Mkurugenzi halmashauri ya Bariadi kg 100 za mchele,Mkurugenzi Busega kg 100 za mchele na Mkurugenzi Maswa atachangia ng'ombe wawili na ofisi ya RPC Simiyu kg 100 za mchele.
Hii ni kwa mujibu wa RC Simiyu,Antony Mtaka(leo akiwa shule ya sekondari ya Wasichana Maswa)
From Samwel Mwanga
Saturday, 7 April 2018
Thursday, 5 April 2018
Wednesday, 4 April 2018
KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA MWEZI MEI WANAFUNZI 1003 KIDATO CHA SITA SIMIYU WAPIGA KAMBI YA KITAALUMA
Breaking news:BUS LA CITY BOY LAPATA AJALI IGUNGA TABORA NA KUUA
Taarifa zinazosambaa kwa kasi kwenye Mitandao ya kijamii ni kuhusu taarifa za ajali mbaya sana ya basi tajwa linalofanya safari zake kati ya Dar na Karagwe Kagera.
RPC Tabora amesema ajali ni Mbaya vifo kadhaa vimetokea.Basi limegongana na Lori.
Thursday, 29 March 2018
Saturday, 24 March 2018
Professor aishauri Basata ‘mtoto akikosea usimchinje kichwa’
Jay amesema BASATA wanapaswa kukaa na wasanii na kuzungumza nao, ikiwezekana kutoa semina elekezi, lakini sio kuwafungia kwani wasanii wanapitia mengi magumu kwenye kutengeneza kazi zao.
“Unajua asilimia kubwa ya taifa ni vijana, na wengi wao wanajishughulisha na sanaa mbali mbali, suala la kufungiwa huu muziki tumetoka nao mbali sana, mtoto akikosea usimchinje kichwa, tujaribu kufanya semina elekezi, kumfungia mtu kama roma ni kitu kikubwa, hii inarudisha nyuma na inakatisa tamaa”, Professor Jay alikiambia kipindi cha EATV.
Prof Jay ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama muwakilishi wa wananchi na wasanii pia, atalisemea hili bila kuchoka.