Thursday, 12 April 2018

MWONGOZO NA USHAURI WA KOZI ZENYE SOKO KULINGANA NA MCHEPUO WAKO(COMBINATION) ZA KUCHAGUA/KUSOMEA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2018-2019

...


MWANZO
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunifanya kuwa hai siku hii ya leo na kuandika mambo yenye faida kwa wadogo zangu kidato cha sita mwaka 2018.

Vitu nitakavyozungumzia;
1.Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level uliosomea
2.Marketable course in terms of Employment opportunities
3.Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
4.Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
5.Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali



MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB

Wanafunzi wanaosoma mchepuo tajwa hapo juu wana fursa kubwa ya kozi za kuchagua mara tu watakapomaliza masomo yao ya kidato cha sita,kozi hizo ni pamoja na;

Doctor of medicine( Ina high competition kwa Vyuo vyote Kama unaufaulu mdogo kuwa Makini katika kuichagua )
Bsc. Pharmacy 
Bsc. Nursing 
Bsc. Medical laboratory science 
Bsc. Microbiology 
Bsc. Molecular biology & Biotechnology 
Bsc. Biotechnology & Laboratory science 
Bsc. Food science & Technology 
Bsc. Agronomy 
Bsc. Animal science & production 
Bsc. Wildlife management 
Bsc. Veterinary medicine 
Bsc. Forestry 
Bsc. Agricultural general
Bsc. With Education


MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCM

All field of Engineering hasa; 
Civil Eng, 
Mechanical Eng, 
Electronics & Telecommunications Eng, 
Electrical Eng,Computer Eng, 
Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng, 
architecture, Quantity Survey, Geomatics, 
Actuarialscience, Computer science, ICT, 
Chemical & Processing Eng
Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry 
Geology,
Engineering geology 
Bsc. With Education

MUONGOZO kwa Tahasusi ya CBG CBG & CBA

ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB ISIPOKUWA (M. D),(PHARAMACY),(NURSING) KWA MUONGOZO MPYA WA TCU

Kozi hizo hi;
Bsc. Medical laboratory science 
Bsc. Microbiology 
Bsc. Molecular biology & Biotechnology 
Bsc. Biotechnology & Laboratory science 
Bsc. Food science & Technology 
Bsc. Agronomy 
Bsc. Animal science & production 
Bsc. Wildlife management 
Bsc. Veterinary medicine 
Bsc. Forestry 
Bsc. Agricultural general
Bsc. With Education

MUONGOZO kwa Tahasusi ya PGM

ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana

kozi hizo ni;
All field of Engineering hasa; 
Civil Eng, 
Mechanical Eng, 
Electronics & Telecommunications Eng, 
Electrical Eng,Computer Eng, 
Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng, 
architecture, Quantity Survey, Geomatics, 
Actuarialscience, Computer science, ICT, 
Chemical & Processing Eng
Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry 
Geology,
Engineering geology 
Bsc. With Education



MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE

Bsc. Agricultural economics & Agribusiness 
Bsc. Building Economics
Bsc. Actuarial-science 
Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science) 
Bsc. Architecture
B. A Economics & Statistics 
Bsc. Computer science , Bsc ICT
B.A land management & Valuation
B. A Economics 
B. A Accounting & Finance
Bsc. With Education


MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA

Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
B. A accounting & Finance 
B Business Administrator ( Accounting & Finance) 
B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
B. A with Education

MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL

LL. B (B. Law) 
B. Land management & Valuation 
B. A Human resource management 
All kozi relate with community development & Planning 
B. A with Education

MWISHO

Mwisho kabisa napenda kusema kwamba kuna kozi nyingi na mbalimbali katika vyuo vikuu hapa Tanzania,lakini kozi zilizotajwa hapo juu ni kozi zenye soko katika kujiajiri na kuajiriwa ndani na nje ya Tanzania.

Tutaendelea……..
Maswali(kwa text only)>>> +255621082183
website:www.maswayetublog.ml
email:innocentlugano60@gmail.com
watsup and telegram:+255768260834

Share:

1 comments:

advebick said...

MUNGU awabariki nimejua koz zote za comb yangu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger