Wadau mbalimbali ktk mkoa wa Simiyu wachangia kambi ya kitaaluma ya kidato cha sita iliyopo ktk shule ya sekondari ya wasichana ya Maswa.
Wadau hao ni Ofisi ya Mkuu wa mkoa Sh Milioni 10 kwa ajili ya kuongezea posho kwa walimu 40 wanaowafundisha,Sh M 1.1 kwa ajili ya mahitaji maalumu kwa wanafunzi wa kike,Mbunge wa Jimbo la Itilima Mh Njalu katoa kg 500 za mchele,Mkurugenzi Meatu kg 300 za mchele,Mkurugenzi Itilima Kg 100 za mchele,Mkurugenzi halmashauri ya mji Bariadi kg 100 za mchele,Mkurugenzi halmashauri ya Bariadi kg 100 za mchele,Mkurugenzi Busega kg 100 za mchele na Mkurugenzi Maswa atachangia ng'ombe wawili na ofisi ya RPC Simiyu kg 100 za mchele.
Hii ni kwa mujibu wa RC Simiyu,Antony Mtaka(leo akiwa shule ya sekondari ya Wasichana Maswa)
From Samwel Mwanga
0 comments:
Post a Comment