USHAURI
KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA
KUSOMEA CHUONI 2017/2018
Habari yako?
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu Muumba wa
ardhi na mbingu kwa kuniweka hai hadi leo hapa duniani.
Maswayetu blog kama kawaida yetu kwanza Tunawapongeza
kidato cha sita wote waliofaulu katika mitiani yao waliyoifanya mei 2017.
Sitaki kukuchosha sana,naomba niende kwenye
point.Kutokana na kutoka kwa matokeo ya kidato cha sita 2017 wanafunzi wengi
wamekuwa wakiwaza nini cha kufanya kutokana na matokeo waliyoyapata,basi kama
na wewe ni miongoni mwako basi hapa umefika katika sehemu husika.
MOJA
Napenda nianze
kuelezea kuhusu sifa za kwenda chuo kikuu mwaka huu 2017.
Ili uweze kudahiliwa katika chuo chochote kile kikuu
TANZANIA lazima uwe na minimum points of 4 katika masomo yako mawili kwa kozi ambazo ni NON-HEALTH RELATED.
Mfano; HKL ,ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu lazima uwe umepata
atleast D D katika masomo yako,hii
inamanisha kwamba ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu kwa kiwango cha chini
lazima uwe umepata A E,B E,C E
LAKINI D E HUTAKUWA NA SIFA.
(NOTE:HUWA
WANAANGALIA MASOMO MAWILI TU,AMBAYO
YATAKUPA MINIMUM TOTAL OF 4 PTS.)
Na,
kozi za afya lazima uwe na minimum points of 6 katika
masomo yako yote matatu yanayobeba combination yako.
Mfano, PCB lazima uwe na C D E ambapo C lazima iwe ya chemistry,D ya biology na E ya physics (NI
LAZIMA) kwa point hiyo kama umepata div 2 pts 12 PCB na umepata D D D(hauna
sifa ,kwa sababu lazima uwe na C ya chemistry)
Pia
tunapenda kukuhakikisha kuwa ushauri wa kozi tulizokupa ,zitakufanya upate
mkopo kwani about 98% ni kipaumbele cha
serikali hii ya Kazi tu.
MBILI
KAMA
UMESOMA PCB HII INAKUHUSU;
Najua na ninatambua kwamba ndoto kubwa ya wanafunzi
waliosoma PCB huwa ni kusomea udaktari chuo kikuu.lakini ndoto zao wengi
hupotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo matokeo mabaya,kuchagua vyuo
kimakosa n.k.
Kwa mwaka huu wa masomo ili uwe na sifa ya kusomea
udaktari chuo kikuu chochote kile TANZANIA lazima uwe umesoma PCB na umepata
Physics-D,Chemistry-C,Biology-C
which gives a minimum points of 8;Hii inamaana kwamba mwisho kusomea udaktari
mwaka huu lazima uwe umefaulu kiwango cha DIV 2 PTS 10.
Kama
umesoma PCB na haujapata vigezo hapo juu tafadhali ninakuomba usisumbuke kuomba
udaktari kwani huwezi chaguliwa.
Kama umepata Div 2 pts 11 hadi Div 3 pts 13 ,kuna kozi
nyingi za kuomba tofauti na udaktari,kama nilivyoziorodhesha hapo chini;
Bsc. Pharmacy (lazima
uwe na C ya chemistry,D in
biology na E in phys)
biology na E in phys)
Bsc. Nursing (lazima
uwe na C ya chemistry,D in biology
na E in phys,Nutrition or mathematics)
na E in phys,Nutrition or mathematics)
Bsc. Medical laboratory science (lazima uwe na C ya
chemistry,D in biology na E in phys)
chemistry,D in biology na E in phys)
·
Bachelor of Science in Optometry((lazima uwe na E ya
chemistry/mathematics,D in biology na C in phys)
chemistry/mathematics,D in biology na C in phys)
·
Bachelor of Sciences in Health
Laboratory
and
Bachelor of Science in Physiotherapy((lazima uwe na C ya chemistry,D in
biology na E in phys)
·
Bachelor of Medical Laboratory
Sciences in Clinical Chemistry,
·
Bachelor of Medical Laboratory Sciences
in Hematology and Blood Transfusion,
· Bachelor of Medical Laboratory Sciences in
Histotechnology,
·
Bachelor of Medical Laboratory
Science in Microbiology and Immunology,
· Bachelor of Medical Laboratory
Sciences in Parasitology and Medical Entomology and
· Bachelor of Medical Laboratory Sciences General
((Kozi 7 hapo juu lazima uwe na C ya chemistry,D
in biology na E in phys)
·
Bachelor
of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics
or agriculture,geography)
Kozi zifuatazo lazima uwe na minimum of 4 pts
·
Bsc. Microbiology
·
Bsc. Molecular biology &
Biotechnology
·
Bsc. Biotechnology & Laboratory
science
·
Bsc. Food science & Technology
·
Bsc. Agronomy
·
Bsc. Animal science & production
·
Bsc. Wildlife management
·
Bsc. Veterinary medicine
·
Bsc. Forestry
·
Bsc. Agricultural general
· Bsc. With Education
TATU
KAMA
UMESOMA CBG HAPA PANAKUHUSU;
Wanafunzi wanaosomea CBG a level wengi wao huwa na ndoto
za kusomea nursing,pharmacy na kozi mbalimbali za afya,lakini kwa mwaka huu
mambo yamekuwa tofauti sana,wanafunzi walioma CBG wataruhusiwa kusoma kozi moja
tu ya afya ambayo ni Bachelor
of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (ambayo lazima uwe na
C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics or
agriculture,geography).
CHONDE CHONDE
Ninakuomba kama hauna sifa ya kusomea kozi ya afya hapo
juu tafadhali usiombe kwani itakugharimu baadae kwa kukosa chuo.
Kozi nyingine ni kama zilivyoainishwa katika wanafunzi
waliosoma PCB.
NNE
KAMA
UMESOMA PCM /PGM HAPA PANAKUHUSU;
·
All
field of Engineering hasa
- Civil Eng,
- Mechanical Eng,
- Electronics & Telecommunications Eng,
- Electrical Eng,Computer Eng,
- Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
- architecture, Quantity Survey, Geomatics,
- Actuarialscience, Computer science, ICT,
- Chemical & Processing Eng
- Industrial engineering
- Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
- Geology,
- Engineering geology
- Bsc. With Education
TANO
KAMA
UMESOMA EGM,ECA NA HGE HAPA PANAKUHUSU ;
- Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
- Bsc. Building Econmics
- Bsc. Actuarialscience
- Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
- Bsc. Architecture
- Bsc. Geomatics
- B. A Economics & Statistics
- Bsc. Computer science , Bsc ICT
- B.A land management & Valuation
- B. A Economics
- B. A Accounting & Finance
- Bsc. With Education
- Procurement
- statistics
SITA
KAMA
UMESOMEA HGL, HGK & HKL SOMA HII;
- LL. B (B. Law)
- B. Land management & Valuation
- B. A Human resource management
·
All kozi relate with community development
& Planning
- B. A with Education
- B.LAW ENFORCEMENT UDSM
SABA
KAMA UMESOMEA CBN ,CBA HII INAKUHUSU;
CBN wamepata bahati kwani wao wameruhusiwa kusoma kozi
mbili za afya ambazo ni nursing na environment health ambapo inawabidi wawe ni
minimum points of 6 in three subjects.Kati ya hayo masomo lazima uwe na C in
chemistry,D in biology na E in nutrition.
Kwa upande wa CBA yeye ameruhusiwa kusoma kozi ya environmental
health.
Kozi nyinginezo ni kama nilivyoainisha hapo juu katika
sehemu ya CBG.
MWISHO
Napenda
kumalizia kwa kuwakumbusha wanafunzi wote mnaotaka kufanya maom bi ya vyuo
vikuu mwaka huu kwamba application zote zinafanyika chuo husika unachotaka
kusoma,maana yake maombi yote itakubidi uyatumie katika chuo unachotaka
kusomea.
ENDELEA
KUFATILIA BLOG HII KWANI MDA SI MREFU TUTALETA HAPA USHAURI KWA NDUGU ZETU
AMBAO HAWAKUWEZA KUFIKISHA POINTS 4 KATIKA MASOMO YAO.NINI WAFANYE ILI WAWEZE
KUJIUNGA NA CHUO KIKUU.
Ni
mimi
Innocent
(blogger boy)
DIRECTOR
MASWAYETU
BLOG
(kama
unaswali tafadhali tembelea maswayetu.blogspot.com ,tutext tutakujibu)