The University of Dar es Salaam (UDSM) is set to
install anti-plagiarism software in the 2014/15 academic year to monitor
theses of PhD students and research scholars.
Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa marehemuMarehemu
Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na
marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga
Maili mbili jana.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
amaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta
akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la
wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha
kwa mitandao ya simu.
Anafahamika
zaidi kama Rose Ndauka ni mmoja warembo wenye mvuto wa pekee ndani ya
tasnia ya bongo movies kwa vipaji vyake vingi sana.
Licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza pia rose ni mwandishi na mwongozaji wa Filamu.
Akiwa
ameshaigiza kwenye zaidi ya Filamu kumi na saba (17) na kupata tuzo
mbalimbali ikiwemo ya best actress in mini ziff 2011; Rose Pia ni
mfanyabishara na anamiliki kampuni yake binafsi iitwayo Ndauka
Entertainment inayojihusha na mambo ya Filamu na burudani.
Katika wiki ya pili ya Februari 2015,
baadhi ya watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi walianzisha
vifurushi vya mawasiliano na bei na kusabababisha malalamiko kutoka kwa
watumiaji na umma kwa ujumla. TCRA, kwa kuzingatia upeo wa shughuli
zake, imechambua hali hiyo na inapenda kutoa maelezo na maagizo ambayo
yatawezesha kuondoa sintofahamu iliyopo na kujenga mustakabali kwa siku
zijazo.
Minister for Works Dr John Magufuli who is also a
Member of Parliament for Chato (CCM) has sent a message of condolence to
the mother of Yohana Bahati, an albino child who was abducted recently
and brutally killed in his constituency in Geita Region and donated Sh1
million to the bereaved family.
Non-tariff barriers deny the EAC opportunity to
unlock the immense promise of integration and starves businesses of
innumerable opportunities, Tanzania President Jakaya Kikwete said
Friday.