INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta.
Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la ubungo Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.