INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Monday, 7 July 2014
Sunday, 6 July 2014
WANAFUNZI WA DODOMA UNIVERSITY WATOA TAMKO-KUHUSU SKENDO JUU YA UKAHABA,WASEMA KUWA WANAOFANYA BIASHARA HIYO HUTUMIA STATUS YA UDOM KUPATA WATEJA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.
Wafanyabiashara
nao hawapo nyuma wakiwamo wanaonadi miili yao kama bidhaa. Hawa ni
maarufu kwa majina kama vile makahaba, machangudoa na dada poa.
FREEMASONS WATOA TAMKO KUHUSU MMWISHO WA DUNIA-SOMA TAMKO HILO HAPA MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa
sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya
wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,
sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
WANAFUNZI WA CBE-DODOMA WATUKANANA MITANDAONI-SOMA HAPA MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baadhi ya wanafunzi
wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM-ATAKA KUJIUA
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa mwanadada huyo alikuwa na miadi ya kukutana na mwanaume ambaye inasemekana pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana usiku kwenye gesti moja mashuhuri sana iliyopo Sinza, Dar es Salaam. Mwanadada huyo alimsubiri mtu wake mpaka saa 6 usiku, lakini hakutokea kabisa!! Baada ya kugundua kuwa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WAZIRI WA UJENZI KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE
MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA
Wizara
ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi mbaimbali ya Maendeleo katika mkoa wa Mwanza na Mara.
Mheshimiwa
Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo
atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu
wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami. Siku
inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua mradi wa barabara ya Makutano – Natta – Mugumu
(sehemu ya Makutano – Sanzate km 50).
SOMALIA:BOMU LAUA 4 NJE YA BUNGE,,,SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wapiganaji wa Al Shabaab
Bomu lililotegwa
kwenye gari limelipuka na kuua watu wanne karibu na Bunge la Somalia na
wengine kujeruhiwa, maafisa wa Polisi wamesema.
Habari zanasema bomu hilo lilipiga nje
ya lango kuu la kuingia katika mPICHA ZIKIMWONESHA SHEHE ALIYELIPULIWA NA BOMU ARUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOYShekhe Muhaji Hussein Kifea…
HAYA NDO MAJUBU YA DIAMOND BAADA YA TUZO ZA BET
Saturday, 5 July 2014
MH. RAIS KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akimkaribisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Uwanja wa
Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, leo
Julai 5, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Magereza, Sania Kigwe.
CHATO: MAGUFULI AVUNA WANACHAMA WAPYA 376 ,KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mbunge
wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mikono na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
walioamua kujiunga na chama hicho mara baada ya Mbunge huyo kufanya
Mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Nyabugela, kata ya Mganza
katika Wilaya ya Chato leo.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA CHINA GENERAL CHANG WANQUAN
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam leo
MCHEZAJI WA ZAMANI NA KOCHA MSAIDIZI WA MAN UNITED-APATA UDAKTARI WA SAYANSI,SASA KUITWA DR.GIGGS
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Heshima:
Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii
yake kwenye ukumbi wa Victoria Hall mjini Bolton.