Monday, 16 June 2014
Sunday, 15 June 2014
MAKAHABA WAONGEZEKA BRAZIL,HUKU WACHEZAJI WA UIENGEREZA WAJIPAPATIKIWA
BIASHARA ya ukahaba imeanza kunoga Brazil kutokana na kufanyika kwa fainali za Kombe la Dunia ambazo zilianza jana usiku nchini humo ambapo wenyeji Brazil walifungua na Croatia.
SOMA HISTORIA YA MH.JAKAYA MRISHO KIKWETE,RAIS WA TANZANIA
Jakaya Mrisho Kikwete tangu tarehe 21 Desemba 2005 ni rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
HATIMAE MAREHEMU :GEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA
Hapa
ndipo mwili wa Marehemu George Tyson ulipozikwa mapema leo mchana
katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.George Tyson ambaye alikuwa ni
mmoja wa Waongozaji filamu
MHESHIMIWA KOMBA:BAADA YA PICHA ZAKE AKILA URODA NA BINTI KUSAMBAA MTANDAONI AIBUKA NA HAYA SOMA HAPA
“Sijawahi
kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome )
jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni
kazi sana,”alisema Komba katika kipindi cha mkasi kinachorushwa na East African Television
Mheshimiwa Komba alisema ana watoto
tisa wakiwemo wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa na wote
wamelelewa na mke wake Salome na ndio maana anampenda na
kumjali kila siku za maisha yake kwani anastahili kuitwa
mwanamke haswa…..
John Komba aliyasema hayo siku
chache baada ya kuonekana picha zake mbaya za kimahaba
alizopiga akiwa na msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake…..
Saturday, 14 June 2014
CHUO CHA CBE CHAONGOZA MATUMIZI YA "SMART PHONE", IFM YA PILI KITAIFA
Wakati zikitangazwa nchi zenye matumizi ya smartphone Africa na TANZANIA kushika nafasi ya pili africa,Pia imetolewa chati ambayo ina jumuisha vyuo vyote vikuu vilivyopo tanzania,huku Chuo cha CBE kikitajwa kuwa na matumizi makubwa ya smartphone ambapo wanafunzi wake wenye smart phone ni 89.7%
ORODHA KAMILI HII HAPA
ORODHA KAMILI HII HAPA
MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR: KITU KIDHANIWACHO KUWA NI BOMU KIMELIPUKA HUKO ZANZIBAR USIKU HUU NA KUUA MMOJA
Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar.
FROLA MABASHA:MZIMU WAZIDI KUMATAWA,AVAMIWA NYUMBANI KWAKE
SIKU
chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili
mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine
yameibuka.