Kampuni ya simu Infinix yazindua rasmi simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya masaa 72 simu hii ya Infinix HOT 10i ni toleo jipya ambalo sifa yake kubwa imekaa upande wa battery ikiwa na mAh 6000 za battery imara na lenye nguvu ya kudumu na chaji kwa muda mrefu.
Kampuni ya simu Infinix imekuwa ikitoa matoleo mbalimbali ya simu kulingana na kila rika na kipato cha Mtanzania. Infinix HOT 10i inamlenga zaidi mwanafunzi na Mtanzania mwenye kipato cha kati ambaye kutumia Tsh.320,000 ni sahihi kwa simu yenye sifa hizi;
Kamera yenye uwezo wakupiga picha yenye muonekano ang’avu hata kwenye kiza kinene ambazo ni MP13 flash 4 na selfie ya MP8 na flash. Infinix HOT 10i inakuondoa hofu wa picha hasa kwa matukio ya usiku.
Infinix HOT 10i imezingatia umuhimu wa kuangalia matukio mbalimbali kupitia simu endapo upo ambali na nyumbani basi kupitia wigo mpana wa kioo cha inch 6.51 unaweza kuangaza yote pasipo kupitwa na chochote.
Infinix HOT 10i ina nafasi ya kutosha ya utunzaji kumbukumbu kwa matumizi mbalimbali kama vile vitabu kwajili ya kujisomea, video za filamu, picha za safarini na mengine mengi utayafurahia kupitia memory ya GB 2Ram, 32Rom/2Ram, 64Rom ya Infinix HOT 10i.
Infinix HOT 10i ilizinduliwa rasmi tarehe 6/7/2021 na sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania kwa huduma ya haraka tafadhali piga 0744606222.
0 comments:
Post a Comment