Wednesday 28 July 2021

Breaking : HAJI MANARA ANG'OLEWA SIMBA SC...EZEKIEL KAMWAGA SASA MSEMAJI

...


BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Julai 28, 2021 kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manara ya kutokuendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemajiwa Klabu hiyo. Bodi inamshukuru kwa maneno aliyotumia kuwaaga wana Simba.

Klabu ya Simba imemteua, Ezekiel Kamwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idaa ya Habari na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger