Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
**
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza watendaji wa serikali kujituma kufanya kazi akisisitiza kuwa atazinguana na watakaozingua.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Aprili 6,2021 wakati akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa taasisi na Idara mbalimbali Ikulu Jijini Dar es salaam.
"Nendeni mfakanye kazi....Mimi ni Mama Wewe ni Kijana Ukizingua Tutazinguana",amesema Rais Samia.
0 comments:
Post a Comment