Friday, 16 October 2020

MAJALIWA AENDELEA KUTIMBA CHOCHO KWA CHOCHO KUSAKA KURA ZA JPM

...
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Ndugu Kassim Majaliwa anaendelea kutimba chocho kwa chocho kusaka kura za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wote wa CCM na Leo Ijumaa Oktoba 16, 2020 ni zamu ya Arusha. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano Mkubwa Uliofanyika Loliondo, Arusha.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger