Ewe Mtanzania mwenzangu, Tanzania inahitaji kiongozi Mzalendo, Mchapakazi na Mwenye maono na nchi yetu. Tarehe 28/10/2020 twende tukatoe Kura za ndiyo za Kutosha kwa Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania pamoja na Wabunge na Madiwani wote wa CCM ili tuendelee kulijenga Taifa letu.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
0 comments:
Post a Comment