Monday, 7 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA

...
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Mwanza katika Mikutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 7 Septemba, 202

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Mwanza katika Mikutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 7 Septemba, 2020
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kabla ya kuanza kuhutubia.


 

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger