Wednesday, 9 September 2020

Angalia Picha : MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATORO AKIOMBA KURA GEITA

...

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Katoro katika mkutano wa Kampeni za CCM wakati akielekea Chato mkoani Geita leo tarehe 9 Septemba 2020. PICHA NA IKULU 
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Katoro katika mkutano wa Kampeni za CCM wakati akielekea Chato mkoani Geita leo tarehe 9 Septemba 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere wakishangilia wakati Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Katoro mkoani Geita. 
Waziri wa Madini Doto Biteko akiwa na pacha wake Kurwa Biteko pamoja na wagombea Ubunge wengine wa CCM mkoa Geita.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger