Thursday, 20 August 2020

ZITTO KABWE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KIGOMA MJINI

...
Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo na Kiongozi wa Chama hicho Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto 'Zitto Kabwe' (kushoto), akipokea fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kutoka Kwa Msimamizi wa Uchaguzi Msaidizi wa Jimbo hilo, Ferdinand Firimbi jana mjini Kigoma.(Picha na Said Powa)
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger