Friday, 28 August 2020

MAANDALIZI YAPAMBA MOTO UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM DODOMA

...
Majukwa yakiendelea kupambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma tayari kesho Agosti 29,2020 kwa mkutano wa  uzinduzi wa  kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza,  Samia Suluhu Hassan. Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28 mwaka huu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.
Picha za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli zikiwa zimepambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utafanyika kesho Jumamosi.
Kijana muuza korosho Jamali Mohamed, akiangalia picha ya Mgombea Urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. Magufuli iliyopambwa kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mambo yalivyo Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Bendera za Chama Cha Mapinduzi zikiwa zimelipamba Jiji la Dodoma.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger