Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wameelezea kufurahishwa na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, baada ya kutembelea na kukutana na Menejimenti ya ofisi hiyo yenye jukumu la kusimamia Taasisi, Mashirika ya Umma na Kampuni ambazo Serikali inamiliki hisa.
Katika mkutano kazi huo, Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka alitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na ofisi yake inayosimamia mashirika na taasisi 266.
Katika mkutano kazi huo, Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka alitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na ofisi yake inayosimamia mashirika na taasisi 266.
0 comments:
Post a Comment