Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Iddi Simba amefariki dunia leo saa Alhamisi Februari 13, 2020 saa 5 asubuhi.
Mtoto wa marehemu, Ahmad Simba amesema baba yake amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu.
“ni mshtuko kwetu kwa kweli, amefariki wakati akiendelea na matibabu.”
0 comments:
Post a Comment