Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Halmashauri ya Mji Kibaha na kutembelea kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors kinachomilikiwa na Mtanzania chenye uwezo wa kuunganisha mabasi makubwa yenye uwezo wa kubeba abiria kuanzia 50
0 comments:
Post a Comment