Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Februari 8, 2020.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment