Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo ametangaza kurudi tena Chama cha Mapinduzi (CCM)
Ametangaza uamuzi huo mchana wa leo tarehe 10/2/2020 katika kikao cha Baraza la Wadhamini, Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba - Dar es salaam.
Sumaye aliwahi kuhudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo katika serikali ya awamu ya tatu na baadaye alihamia Chadema mwaka 2015.
Jumatano Desemba 4, 2019 alitangaza kujiondoa CHADEMA na kusema atakuwa mshauri huru wa masuala ya kisiasa.

0 comments:
Post a Comment