Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amejiunga na CCM leo Jumanne Februari 18, 2020 na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM nchini Tanzania, Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment