Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU leo kwa mara nyingine napenda kuwashauri kidato cha sita juu ya kozi za kujaza endapo utahitaji ajira za moja kwa moja utakapomaliza chuo;
Kwa waliosoma ;
1.PCB
-kama ulisoma PCB na unaufaulu mzuri namaanisha kozi tajwa hapo chini zinaushindani katika admission hivyo basi kwa mafano MEDICINE wanataka Pts 5 hivyo basi jitahidi uwe na kuanzia pts 5.5 ndo unaweza chukuliwa, tafadhali chagua kati ya zifuatazo; MEDICINE,ENGINEERING,PHARMACY,NURSING,FOOD SCIENCE &TECHNOLOGY,AGRONOMY,AGRI GENERAL,ANIMAL SCIENCE,LAB SCIENCE, &HUMAN NUTRITION.
2.PCM
-ENGINEERING(sikushauri ujaze kila kozi ya engineer si zote ni nzuri),FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY,ARCHTECTURE,GELOGY & MEDICINE kwa KCMC.
3.PGM
-Rejea kozi za hapo juu kwa PCM in addition jaza urubani.
4.ECA
-Jaza agriculture and agronomy kwa uhakika wa ajira mbele ya safari.
5.CBG
-jaza MEDICINE KWA IMTU,KIU &HURBERT KAIRUKI vyuo vingne sikushauri sababu wanataka PHYSICS.PHARMACY,FOOD SCIENCE,HUMAN NUTRITION,AGRONOMY,AGRI.GENERAL,ANIMAL SCIENCE,LAB SCIENCE,NURSING
6.HKL
-ningekushauri ujaze LAW lakini sikushauri kwa sababu ajira zake ni za shida sana,Tafadhali jaza EDUCATION WITH usijaze IN(kuna tofauti kati ya with na In)Tofauti ni kwamba with unaweza ukabadilisha fani kwa baadae lakini IN utafia kwenye ualimu.
7.HGL
-unaweza omba Geology lakini sifa uwe umefaulu hesabu o level,Tofauti na hiyo rejea HKL hapo juu.
8.EGM
-Waweza omba ENGINEERING SUA ILA UWE UMEFAULU PHYSICS O LEVEL KWA ALAMA C,geology,AEA.
0 comments:
Post a Comment