Thursday 29 September 2022

GO4WASTE, MoCU WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KUHAMASISHA UELEWA WA UPOTEVU NA UTUPAJI WA CHAKULA

Chakula kikitupwa mara baada ya mtu kushindwa kukimaliza na kusababisha uharibifu wa chakula.

Mlezi wa Taasisi ya GO4WASTE Anthony Gikuri ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU) na Mjumbe wa Timu ya Afrika ya kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula, akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa vitendo wanafunzi wa Sheer Bliss.

Bango la maadhimisho ya kitaifa ya kuhamasisha uelewa wa upotevu na utupaji wa chakula.

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

TAASISI ya GO4WASTE Tanzania kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU)  wameadhimisha siku ya kimataifa ya kuhamasisha uelewa wa upotevu na utupaji wa chakula kwa wanafunzi wa shule ya Sheer Bliss na Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM).

Maadhimisho hayo yamefanyika leo Septemba 29, 2022 na kutolewa elimu kwa njia ya vitendo namna ya uandaaji wa chakula hadi ulaji wake bila ya kusababisha mabaki ya chakula na hatimaye kukitupa.

Mwenyekiti wa Taasisi ya GO4WASTE Tanzania Magreth Nchagwa amesema wamefanya maadhimisho hayo kwa wanafunzi, ambao wanaamini watakuwa mabalozi wazuri wa kwenda kusambaza elimu hiyo na hatimaye kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula.

“Leo ni siku ya kimataifa ya kuhamasisha uelewa wa upotevu na utupwaji wa chakula, ambapo tasisi yetu tumeamua kutoa elimu ya matumizi ya chakula kwa vitendo kwa wanafunzi hawa ambao watakwenda kusambaza elimu hii na kufikia watu wengi,”amesema Nchagwa.

Aidha, amesema utoaji wa elimu hiyo pia ndani ya miezi mitatu wanatarajia kufikia vijana zaidi ya elfu 50, kwa kuwatembelea mashuleni na kutumia mitandao ya kijamii.

Naye Mlezi wa Taasisi hiyo, Anthony Gikuri ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU) na Mjumbe wa timu ya Afrika ya kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula  amesema wananchi wamekuwa wakipoteza chakula kingi kwa sababu ya matumizi mabaya.

Nao wanafunzi waliopewa elimu hiyo, kwa nyakati tofauti wameshukuru kupewa elimu namna ya matumizi sahihi ya chakula, ili kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula hovyo.

Kauli mbiu ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha uelewa wa upotevu na utupwaji wa chakula mwaka huu inasema “Zuia upotevu na utupwaji wa chakula jali watu jali sayari”.

Mlezi wa Taasisi ya GO4WASTE Anthony Gikuri ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU) na Mjumbe wa Timu ya Afrika ya kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa wanafunzi wa Sheerbliss, kulia ni Mwenyekiti wa Taasisis hiyo Magreth Nchagwa.

Mlezi wa Taasisi ya GO4WASTE Anthony Gikuri ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU) na Mjumbe wa Timu ya Afrika ya kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula, akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa wanafunzi wa Sheer Bliss.

Mwenyekiti wa Taasisi ya GO4WASTE Magreth Nchagwa, akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa wanafunzi wa Sheerbliss ili kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula.

Mlezi wa Taasisi ya GO4WASTE Anthony Gikuri ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi (Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education - MoCU) na Mjumbe wa Timu ya Afrika ya kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula, akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa vitendo wanafunzi wa Sheer Bliss.

Elimu ya matumizi sahihi ya chakula ikiendelea kutolewa kwa wanafunzi wa Chuo cha Ualimu SHYCOM ili kuzuia upotevu na utupwaji wa chakula hovyo.

Elimu ikitolewa namna ya mtu anavyotaka kula chakula kingi lakini hawezi kukimaliza na hatimaye kusababisha uharibifu wa chakula na kwenda kutupwa.

Chakula kikitupwa mara baada ya mtu kushindwa kukimaliza na kusababisha uharibifu wa chakula.

Denis Silayo akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa wanafunzi wa Chuo cha Ualimu SHYCOM.

Mustapha Bhoke mhadhili kutoka chuo cha Mucops akitoa elimu ya matumizi sahihi ya chakula kwa wanafunzi wa Chuo cha Ualimu SHYCOM.

Wanafunzi wa chuo cha Ualimu SHYCOM wakiwa katika mafunzo ya matumizi sahihi ya chakula ili kutosababisha upotevu na utupwaji wa chakula.

Wanafunzi wa chuo cha Ualimu SHYCOM wakiwa katika mafunzo ya matumizi sahihi ya chakula ili kutosababisha upotevu na utupwaji wa chakula.

Picha ya pamoja ikipigwa na wanafunzi wa Sheer Bliss.

Picha ya pamoja ikipigwa na wanafunzi wa chuo cha Ualimu SHYCOM.
Share:

Wednesday 28 September 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPTEMBA 29,2022

Share:

MADIWANI HALMASHAURI YA SHINYANGA WABARIKI TAARIFA ZA HESABU ZA MWISHO KWA MWAKA 2021/2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa Mboje akiongoza Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022 uliofanyika leo Jumatano Septemba 28,2022 katika ukumbi wa makao makuu ya halmashauri hiyo Iselamagazi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Mhe. Nicodemus Simon.

Katika mkutano huo, Waheshimiwa Madiwani wameruhusu Mchakato wa ufungaji wa Ripoti za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022 zilizoishia Juni 30,2022 uendelee kwa ajili ya kuwasilisha katika Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa Mboje akizungumza kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Stewart Makali akizungumza kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Rumoka akitoaa Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ukiendelea
Madiwani wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Madiwani wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mkutano ukiendelea

Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga, Boniphace Chambi akitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini, Erinestina Richard akitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini, Edward Ngelelaakitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Wadau na wakuu wa Idara na Vitengo  Halmashauri ya Shinyanga wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger