Tuesday 12 August 2014

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA 4 WALIOCHAGULIWA UDOM-2014/2015-DIPLOMA UALIMU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

THE UNIVERSITY OF DODOMA
COLLEGE OF EDUCATION
SELECTED CANDIDATES TO JOIN INTO DIPLOMA IN PRIMARY TEACHER EDUCATION
S/N
FIRST NAME
Middle Name
SURNAME
SEX
FORM IV INDEX No
1
Izengo

PAULO
M
S0138/0080/1999
2
Mary
S
JOACHIM
F
S0806/0055/2005
3
Neema
W
CHODOTA
F
S312/68/1987
4
 Ibrahim

MOHAMED
M
S0666/0036/1998
5
Ally
M
KYUTA
M
S0413/0092/2001
6
 Philimon

MPALANZI
M
S0652/0071/1996
7
Lenson

MKOFU
M
S0109/0071/2008
8
Daudi

GREGORY
M
S1018/0014/2002
9
Jenifer

MILANZI
F
S0215/0032/1999
10
Lilian
P
KOMBE
F
S0205/0102/1995
11
Ally

MOHAMED
M
S0108/0057/1998
12
Modesta

JANUARY
F
P1151/0042/2002
13
 Lightness
L
KIMARO
F
S0627/0032/2006
14
Flora
J
KESSY
F
S0306/0043/2006
15
Oliva
E
TARIMO
F
S0236/0038/2005
READ MORE
KHASANTE KWA KUTEMBELA MASWAYETU BLOG
kwa maoni ushauri piga 0768260834 thanks.
Share:

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KILIMO CHETI NA DIPLOMA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya maswayetu exclusive blogspot,Leo tena kama kawaida yetu kuwapa kitu roho inapenda.
Tumewaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya kilimo katika vyuo mbalimbalimbali vya kilimo hapa tanzania kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
Kama kawaida yetu tutaoa huduma kwa yule ambaye atataka kuangaliziwa jina lake kama amechaguliwa kujiunga na vyuo vya kilimo.
Utaratibu wa kuangaliziwa ni kwamba utatum jina lako ,taja shida yako kwa njia ya SMS baada ya hapo tuma na Tsh.100 kama unatumia vodacom,kwa Airtel na Tigo nawaomba mtume vocha ya mia tano ili muangaliziwe(lakini kama utapata voda tuma Tsh.100).
 Utatuma ujumbe wako kwenda namba
Share:

Monday 11 August 2014

MAJINA YA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA 2014 MUJIBU WA SHERIA NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA WATAKAORIPOTI KUANZIA TAREHE 04SEPTEMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             vijana_2.jpg
                                                        
MAJINA YA WALIMU NGAZI YA DIPLOMA 2014 MUJIBU WA SHERIA NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA WATAKAORIPOTI KUANZIA TAREHE 04SEPTEMBA

WALIMU-DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI

Share:

FIESTA MWANZA:ANGALIA JINSI DIAMOND PLATNUMZ, WEMA SEPETU, AUNT EZEKIEL WALIVYOITEKA MWANZA KWENYE FIESTA JANA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

MCHUNGAJI MTIKILA AANZA UKOFOFI !!! AKUKUSANYA SAINI ZA WATANZANIA ILI KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA KUENDELEA MJINI DODOMA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila.       


Dar/Arusha. Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya siasa kuendelea kusisitiza kuwa Bunge hilo halina tija kwa taifa.

Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amesema ameanza kukusanya saini za Watanzania wanaopinga kuendelea kwa Bunge hilo ili kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, kusitisha vikao vinavyoendelea mjini Dodoma.
Share:

Sunday 10 August 2014

TANGAZO VIJANA MUJIBU WA SHERIA 2014 (,KIDATO CHA SITA ,WALIMU CHETI NA DIPLOMA)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                          

JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014 NA MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 11 SEPTEMBA 2014.
AIDHA JKT LINAKANUSHA UVUMI UNAOSAMBAZWA KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI KWA NJIA YA SIMU "SMS" NA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUWA MAFUNZO HAYO HAYATAKUWEPO. TAARIFA HII SI YA KWELI BALI NI UZUSHI NA UPOTOSHAJI.
INASISITIZWA KUWA KUJIUNGA NA JKT MUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA, ATAKAYESHINDWA KURIPOTI ATAKUWA AMEVUNJA SHERIA NA ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.
VIJANA WANAOTAKIWA KURIPOTI NI KAMA IFUATAVYO:-
Share:

ORODHA MAJINA YA VIJANA WA KIDATO CHA SITA NA NNE WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 2014/2015 BAADA YA KUJAZA FOMU MAALUMU SHULENI KWAO KABLA YA MITIHANI YAO YA MWISHO YA NECTA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                  
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na  kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya  kujiunga na Jeshi la Polisi.
 Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG Inapenda kutoa huduma ya kuangalia majina yao kwa wale watakaohitaji kuangaliziwa,tafadhali Tuma jina lako na shida yako kwenda namba 0768260834 ,usisahau kutuma nTshs.100 Kwa ajili ya kujibiwa sms yako mapema,karibu sana MASWAYETU BLOG
Pia uongozi wa blog hii unapenda kuwashauri wale wote mliomaliza kidato cha nne na sita 2013 na 2014 kuangalia jina lako hapa kwani hauwezi jua ya TCU,second selection au vyuo vya ualimu yatakuwaje.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:
Share:

Friday 8 August 2014

BREAKING NEWZ:SOMA TAARIFA YA KATIBU MKUU TAMISEMI KUHUSU SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO 2014/2015 : AWAMU YA PILI KUCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

Serikali inatarajia kufanya uchaguzi wa awamu ya pili kwa wanafunzi waliobaki kutokana na ufinyu wa nafasi za shule za kidato cha tano, baada ya kubaini uwepo wa nafasi hizo; na baadhi ya wanafunzi wenye sifa watachaguliwa kwenda kusomea ualimu.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),  Bwana Jumanne Sagini alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari   jijini Dar es salaam juu ya wanafunzi waliofaulu masomo ya sayansi.

Serikali kwa kutambua umuhimu wa masomo ya sayansi na mwitikio chanya uliopo sasa kwa wanafunzi kusoma masomo hayo, imeendelea kuimarisha miundombinu ya shule kwa kutoa fedha za ujenzi, ukamilishaji na ukarabati wa majengo ili wanafunzi wengi zaidi waweze kusoma masomo ya sayansi.
Share:

Thursday 7 August 2014

USHAURI KWA FORM SIX WOTE MNAOFANYA APPLICATION ZA TCU 2014/2015,UKIZINGATIA HILI HAKUNA KOZI UTAKAYOSOMEA ISIYO NA AJIRA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kwanza kabisa napenda kuwapa asante kwa kuendelea kusoma blog yetu hii pendwa ya maswayetu ambayo imesheheni mambo mbalimbali yanaoelimisha na kujenga.

Leo napenda kuzungumzi suala moja tu lakini ni kubwana muhimu sana kulijua  ni kuhusu kozi ya kusoma chuo kikuu,Napenda kuwaambia kuwa soma kitu ambacho unakipenda kutoka moyoni tangu utotoni  sio kwamba kisa ualimu unaajira ya haraka unataka kukimbilia huko utakuwa umefanya wrong decision.

Mfano:umesoma hadi kidato cha sita na lengo lako lilikuwa ni kusomea udaktari then ukapata points ambazo hazikuruhu kusoma udaktari ,sio kwamba ndo uchague kozi nyingine NO jaribu kuanzia hata diploma ili ufanikishe malengo yako ambayo ulijiwekea,Unajua ni bora mtu ukalipwa tsh.200000 kwa mwezi lakini unafanya kazi furaha na kutoka moyoni kuliko unalipwa mil.1 halafu unafanya kazi kwa sababu ya pesa na influence.
Share:

ORODHA YA MAJINA YALIOPATA SKOLASHIPU KWENDA KUSOMA CHINA HAYA HAPA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

SELECTED STUDENTS TO STUDY IN CHINA
                                 
                      
The Ministry of Education and Vocational Training is glad to inform the General Public that the People’s Republic of China has granted Scholarships to the following students to study in China for the Academic Year 2014/2015 


Kama kawaida yetu tutapenda kuwapata taarifa kuwa tutawaagalizia wote wanaotaka kuangaliziwa majina yao kwa kutuma jina lako kwenda  0768260834,usisahau kutuma tsh.100 ya huduma.
Share:

Wednesday 6 August 2014

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOOMBA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 CHETI NA DIPLOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG Tunapenda kuwapa taarifa kuwa tunawaomba muendelee kutembelea blog hii mara nyingi muwezavyo kwani siku si nyingi tutaweka majina ya wanafunzi ambao watakuwa wamechaguliwa na vyuo mbalimbali vya ualimu 2014/2014 pamoja namafunzo ya stashahada Mara tu Wizara itakapoyarusha hewani kwani wafanyakazi wa blog hii ni makini sana na wapo updated sana katika kuhakikisha wanakuletea kitu roho inapenda.

Hivyo basi tuakuomba ulike page yetu ya facebook IJULIKANAYO KWA JINA LA MATUKIO YA WANAVYUO na tunakuomba umwambie na mwenzako kuwa ATEMBELEE MASWAYETU BLOG kwa ushauri,habari na matangazo mbalimbali yahusuyo maisha ta kila siku.

Endapo tukipata tetesi tutakujulisha au unataka kuuliza kuhusu kitu chochote tafadhali tembelea MASWAYETU BLOG  au wasiliana na mmiliki wa blog hii pendwa kwa simu namba 0768260834 nawe utajibiwa bila tatizo.

Wako katika kazi yenye ufanisi INNOCENT-THE BLOGGER BOY.
Share:

MACHANGUDOA ZAIDI YA 20 WAKAMATWA WAKIWA WANAJIUZA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

BAADHI ya akinadada wanaofanya biashara haramu ya kujiuza katika maeneo ya Jiji la Dar, wameeleza kuwa licha ya kupewa kashikashi na jeshi la polisi na wakati mwingine kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hawawezi kuiacha ‘kazi’ hiyo kutokana na ugumu wa maisha.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger