Monday 26 May 2014

KIJANA AKAMATWA AKIWA NA MBUZI MAZINGIRA TATA... JIONEE HAPA!!


Share:

Safari ya Uturuki yamfanya King Majuto aandae filamu iitwayo Strange of Turkish

Baada ya kutembelea nchini Uturuki, msanii wa vichekesho nchini, King Majuto ameanza kuandaa filamu yake mpya iitwayo ‘Strange of Turkish’ itakayohusisha tamaduni ya Tanzania na Uturuki.
10299849_553698514750727_644076135_n Mzee Majuto, Ray, JB na Irene Uwoya wakiwa nchini Uturuki
Share:

RAY C KAMUOKOA MREMBO HUYU AMBAYE VIDEO QUEEN WA NOORAH - ICE CREAM


Screen Shot 2014-05-25 at 8.25.14 PMUnaikumbuka nyimbo ya Ice Cream iliyoimbwa na Noorah? Ni nyimbo nzuri iliyotamba miaka iliyopita na kuvuma zaidi baada ya video yake kutoka ambapo ndani yake kulikuwa na Video queen aliyefahamika kwa jina la Doreen.
Share:

WEMA SEPETU NAYE KIMBELE MBELE KIMEMZIDI CHA KWENDA KWENYE TUZO ZA BET...SOMA HAPA


 

Madame Wema Sepetu ameonesha kuwa na kiwaluwalu cha safari ya kwenda Marekani kwenye tuzo za BET ambazo mpenzi wake Diamond ni miongoni mwa wanamusiki kutoka Afrika walioteuliwa kushindania tuzo hizo kwa mwaka 2014,zitakazofanyika tarehe 29 mwezi ujao.....
Kiwaluwalu hicho amekionyesha hapo jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM...baada ya kuweka picha ya ndungu zake walioko Marekani na kusema amewakumbuka sana ila hivi karibuni wataonana kwani tuzo za BET zimekaribia. ISHU NZIMA   You two are reeeeeaaaally missed... But BET is jus around da corner... Ama see you guys soon... I love you dada

Share:

MAUAJI YA KUTISHA!!..SAMAHANI KWA PICHA: MAJAMBAZI DAR WAUA POLISI KINYAMA, NAO WAUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA.....

 Mwili wa askari aliyeuawa ukiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Temeke

Share:

SCHOLARSHIPS FROM THE GOVERNMENT OF THE DEMOCRATIC PEOPLE’S REPUBLIC OF ALGERIA



SCHOLARSHIPS FROM THE GOVERNMENT OF THE DEMOCRATIC PEOPLE’S REPUBLIC OF ALGERIA TENABLE IN ACADEMIC YEAR 2014/2015

Applications are invited from qualified Tanzanians to pursue Undergraduate degree programs in Algeria for the year 2014/2015. The medium of instruction is French.

FIELDS OF STUDY
  • Medicine                
  • Economic, Management and Commercial Sciences.
  • Mathematics and Computer science
  • State Engineer in Telecommunications   
  • Science and Technology (Environmental Engineering)
  • Science and Technology (Architecture)
  • Science and Technology (Hydrocarbons and Chemistry)
  • Science and Technology ( Electronics)                      
  • Science of Earth and Universe (Hydrogeology) 
  • Science of Nature and Life  (Food Industry)
  • Science of Nature and Life (Biology and physiology of Organism)
  • Science of Nature and Life (Ecology and Environment)
  • Matter Sciences (Chemistry)
  • Matter Sciences (Physics)  
  • French Language
Share:

Saturday 24 May 2014

KIMENUKA BONGO MOVIE!!..WEMA NA MTITU WAKWIDANA


KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu wamekwinda ‘live’ ndani ya gari, Risasi Jumamosi lina kisanga kamili.
Staa katika tasnia ya filamu za Kibongo, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu
Share:

SNURA: DJ HUNTER PEKEE NDIYE ANAYEKULA URODA WANGU AKUNA MWINGINE

Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Snura alifunguka kwamba tofauti na wanaume wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter wanapendana kwa dhati na anaamini ndiyo chaguo sahihi kwake.  “Sijawahi kuwa na mpenzi nikamtambulisha kwenye media bila kuwa nimempenda kwa dhati, tunapendana sana na Hunter, hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu,” alisema Snura.
Share:

LULU AJITETEA BAADA YA KUTOFIKA KATIKA MSIBA WA KUAMBIANA


STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana na kujitetea kuwa alibanwa na majukumu.
Alipobanwa na mwanahabari wetu kuhusu kutohudhuria msiba huo uliodumu kwa takriban siku nne, Lulu alijitetea kuwa alikuwa Mwanza kikazi.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
“Nimebanwa na kazi, nipo Mwanza na kampuni yetu tunayofanya nayo kazi imetoa nafasi moja tu kurudi Dar kwenye msiba, nimeshindwa,” alisema Lulu.
Mastaa wengi walijitokeza kwenye msiba huo akiwemo Jacob Steven ‘JB’ ambaye alikuwa nchini Uturuki kikazi lakini akaziacha na kurejea Bongo kumpumzisha prodyuza wake.
Share:

YULE MSANII WA KIKE WA BONGO MOVIE AMBAYE PICHA ZAKE ZA UCHI ZILISAMBAA MTANDAONI, AJITOKEZA NA KUSEMA MPENZI WAKE NDIYE ALIYESAMABA PICHA ZAKE ZA UCHI

Share:

Friday 23 May 2014

MWONGOZO WA MATUMIZI YA VIWANGO VYA UFAULU 2014/2015

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
MWONGOZO WA MATUMIZI YA VIWANGO VYA UFAULU
NA UTARATIBU WA KUTUNUKU MATOKEO YA KIDATO
CHA NNE NA KIDATO CHA SITA
IMETOLEWA NA:
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
S.L.P 2624
DAR ES SALAAM
APRILI, 2014     
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
MWONGOZO WA MATUMIZI YA VIWANGO VYA UFAULU NA
UTARATIBU WA KUTUNUKU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
NA KIDATO CHA SITA
IMETOLEWA NA:
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
S.L.P 2624
DAR ES SALAAM
APRILI, 2014
            
1.0
UTANGULIZI
Ipo mifumo anuwai inayotumiwa na Nchi mbalimbali duniani katika
kupanga viwango vya ufaulu kwa ajili ya kutunuku vyeti kwa watahiniwa
waliofanya mitihani ya Taifa. Hata hivyo, mfumo wenye kutumia Viwango
vya Ufaulu vinavyobadilika (Flexible Grade Ranges) na Viwango vya
Ufaulu visivyobadilika (Fixed Grade Ranges) hutumika zaidi
ikilinganishwa na mifumo mingine. Upangaji wa viwango katika Nchi
zinazotumia mfumo wa viwango vinavyobadilika hutegemea jinsi
watahiniwa walivyofaulu somo husika. Katika mfumo huo, viwango vya
ufaulu huweza kutofautiana baina ya somo na somo na kati ya mwaka
mmoja na mwingine kwa sababu kiwango cha ufaulu hutofautiana baina
ya somo moja na jingine. Aidha, kwa nchi zinazotumia mfumo wa viwango
vya ufaulu visivyobadilika (Fixed Grade Ranges), viwango vya ufaulu
vinavyofanana hupangwa ili vitumike kama kipimo cha ufaulu kwa
masomo yote kwa kila mwaka.
Tanzania ilikuwa ikitumia mfumo wa viwango vya ufaulu vinavyobadilika
(Flexible Grade Ranges) kuanzia mwaka 1973 hadi 2011. Hata hivyo,
kuanzia Mtihani wa Kidato cha Nne 2012, Baraza la Mitihani la Tanzania
liliamua kuanza kutumia mfumo wa Viwango vya Ufaulu visivyobadilika
(Fixed Grade Ranges) kwa madhumuni ya kuwawezesha wadau kujua
viwango vya ufaulu vinavyotumika katika kutunuku matokeo ya Mitihani
ya Taifa.
Share:

MASOGANGE HANA HABARI NA MTU HUKO INSTAGRAM, CHEKI PICHA HIZI MPYA

Share:

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA



Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta akijibu hoja za wabunge kabla Bunge halijapitisha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.

Share:

UONGOZI SIO LELE MAMA!! UONGOZI NI PAMOJA NA UKARIBU NA WANANCHI WAONGOZWA ONA HAPA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA!!


Share:

BAADA YA DJ HUNTER NA SNURA,MSANII MWINGINE WA KIZAZI KIPYA KAFA KAOZA KWA MANZI WAKE....MAHABA NIUWE NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALEYSIA NJE NJE :

Msanii wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Jaco Beats A.K.A Kilaza na pia ni Msanii wa kwanza ktk Mkoa wa Dodoma anayefanya  vizuri kwa wimbo wake mpya wa ''WALIONUNA'' ambaye Video ya wimbo huo ukiwa unakaribia kutoka hivi karibuni.Pia msanii Super nyota aliyewakilisha mkoa wa Dodoma katika tamasha la fiesta 2013 kwa wimbo wake wa ''KILIAZA'' Ambapo kwa sasa anafanya poa sana kwenye Game:
Share:

MAJANGA KIBIBI KICHAWI CHADONDOKA BAADA YA KUCHOKA KUPAA. WAYA WA UMEME WAZUA MAMBO.


Share:

ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA LEO

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Festo Chonya wa pili kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Kalambo Bi. Mapinduzi Severian mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani Nkasi mapema leo asubuhi tarehe 22 Mei, 2014.
Mratibu wa Mwenge Mkoa wa Rukwa Ndugu Abuubakar Serungwe kulia akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Wilaya ya Nkasi kwa ushirikiano walioutoa wakati Mwenge huo upo Wilayani humo.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger