Wednesday, 31 August 2022

BENKI YA NBC, KOLA PRODUCTS WATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA WA DON BOSCO

Na Mwandishi Wetu - Malunde 1 blog Benki ya Taifa ya Biashara ya NBC kwa kushirikiana na Kola Products wametoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana wa Wasalesia wa Don Bosco wanaotoka mikoa saba ya Tanzania. Elimu hiyo imetolewa leo Jumanne Agosti 30,2022 wakati wa Kongamano la Vijana wa Wasalesia wa...
Share:

KEMIKALI SUMU KATIKA TUMBAKU HUSABABISHA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA : ADAM FIMBO

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Adam Fimbo akionesha orodha ya Kemikali sumu zinazopatikana katika Bidhaa za Tumbaku alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika maonesho ya Kimataifa ya wadau wa bidhaa za afya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Diamond Jubilee...
Share:

Tuesday, 30 August 2022

GGML WATOA MAGODORO 50 KWA KITUO CHA WAZEE BUKUMBI

Afisa Mwandamizi wa Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Shunashu Musa (kulia) akimkabidhi magodoro 50 msimamizi wa Kituo cha Wazee Bukumbi, Jonas Tarimo. Anayetazama ni Afisa Mahusiano wa Jamii wa GGML, Fredrick Musa (wa kwanza kulia). Sehemu ya wazee wa Kituo cha Wazee cha Bukumbi wakisubiri msaada...
Share:

BENKI YA CRDB YAFUNGUA RASMI TAWI LAKE WILAYANI LUSHOTO , TANGA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Omary Mgumba (katikati) kwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (kushoto) wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la Benki ya CRDB lililopo...
Share:

HAYA NDIYO MADHARA YA KULA CHIPS

KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi kama chipsi yai, chipsi kuku na kadhalika. Hizi ndio athari za...
Share:

JAMAA WA MIAKA 46 AMBAKA MTOTO WA MIAKA 8 KISHA KUMPA SH. 500

Mtoto aliyebakwa Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Sunday (46), mkazi wa mtaa wa Mkudi, Kata ya Nyamanoro Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, anadaiwa kumbaka mtoto wa 8 (Pichani) na kumsababishia maumivu makali ikiwemo kumharibu kisaikolojia. Mtoto huyo akizungumzia tukio hilo amesema mwanaume...
Share:

Monday, 29 August 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE AGOSTI 30,2022

Magazetini leo Jumanne August 30 2022 ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger