Friday, 29 November 2019

Credit Officer Job Opportunity at The Guardian Limited (TGL)

Credit Officer Job Opportunity at The Guardian Limited (TGL) OVERVIEW The Guardian Limited (TGL), widely acclaimed as the Home of Great Newspapers, is part of the IPP Group of Companies – one of Tanzania’s leading private sector entities with dignified presence in the print media as well as television and radio broadcasting. TGL currently publishes two upmarket daily… Read More » The post Credit...
Share:

Waziri Mhagama Ampa Miezi Miwili Mkandarasi Kukamilisha Hatua Ya Kwanza Kiwanda Cha Bidhaa Za Ngozi Cha Karanga.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mgahama, amempa miezi miwili mkandarasi anayejenga Kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mkoani Kilimanjaro, kukamilisha hatua ya kwanza ya  ujenzi wa kiwanda hicho hadi kufikia...
Share:

Waziri Mkuu: Madhehebu Ya Dini Yameisaidia Serikali Kupata Viongozi Wazuri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema madhehebu ya dini yametoa mchango mkubwa katika kuwapata viongozi wa Serikali wanaofuata maadili mema na miiko ya uongozi. Akizungumza  wakati alipofungua Msikiti wa Haq – Kionga ulioko Magomeni, jijini Dar es Salaam leo mchana (Ijumaa, Novemba 29, 2019),...
Share:

Picha : ABIRIA WANUSURIKA KIFO HIACE IKITEKETEA KWA MOTO STENDI YA MABASI SOKO KUU MJINI SHINYANGA

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Abiria ambao idadi yao haijajulikana wamenusurika kuungua baada ya gari aina ya Hiace yenye namba za usajili T998 AAP linalofanya safari zake Shinyanga kwenda Maswa kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokeo leo Ijumaa Novemba 29,2019 majira ya saa nane na nusu wakati...
Share:

Arsenal yamfuta kazi Kocha Mkuu Unai Emery

UNAI Emery aliyekuwa kocha mkuu wa Arsenal amepigwa chini ndani ya kikosi hicho baada ya kudumu nacho kwa muda wa miezi 18 akiwa kazini. Arsenal imefikia uamuzi huo baada ya jana kupigwa na Frankfurt bao 2-1, kwa mchezo wa saba mfululizo bila ushindi (sare 5 na  vipigo 2).   Arsenal imemtangaza...
Share:

Viwanja Bei nafuu: Bunju na Mapinga (Kimele)

Kwa Mapinga vipo viwanja vya 20/25 bei milion 5, 20/30 bei milion 6, 20/40 bei milion 8, nusu eka milion 25 na eka milion 50 Kwa Bunju vipo viwanja vya sqm 1000 kwa milion 30. Ukipata ujumbe huu mjulishe ndugu/jamaa/rafiki, na biashara hii haina dalali/udalali. Mpigie mhusika: 0758603077...
Share:

Harmonize Kumkabili Ali Kiba Disemba 8

Wasanii wa Tanzania, Alikiba na Harmonize watakutana katika jukwaa moja la tamasha la Fiesta litakalofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Desemba 8, 2019. Waandaaji wa tamasha hilo Jumanne Novemba 26, 2019 wametangaza baadhi ya wasanii nchini watakaoshiriki Fiesta, wakiwemo wawili...
Share:

Diamond Platnumz Ambwaga Ali Kiba

Shirika la Utangazaji CNN limetaja wanamuziki bora 10 barani Afrika, akiwemo msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz. Orodha hiyo inamfanya Diamond kuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuingia katika orodha hiyo ya wasanii wanaofanya vizuri katika muziki. Wengine waliotajwa ni Burna Boy wa Nigeria...
Share:

Mfumo wa vifurushi vya Bima ya Afya Wazinduliwa Rasmi...Elimu Kutolewa Nyumba Kwa Nyumba

Mfumo wa vifurushi vya Bima ya Afya umezinduliwa rasmi jana jijini Dar es Salaam, huku Mwenyekiti wa Bodi ya Mfumo wa Bima ya Taifa (NHIF) Anna Makinda, akisema watu watafuatwa mpaka majumbani kupewa elimu ili wajiunge. Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge, aliwataka pia watumishi wa vituo vya...
Share:

Tanzania Communication Officer at Frankfurt zoological Society – Tanzania

Job Summary The Frankfurt Zoological Society (FZS) is an international conservation NGO based in Germany. FZS is active in biodiversity-rich areas on four continents. The Africa Program includes projects in five focal countries: Ethiopia, Tanzania, Zambia, Zimbabwe and the DR Congo. It is coordinated from the Africa Regional Office (ARO) based in Arusha, Tanzania. FZS seeks to improve… Read More...
Share:

Marketing Manager Tanzania at SPENN TANZANIA LTD

Job Summary We at SPENN are looking for a Marketing Manager with a rock-solid vision to join our team! As a Marketing Manager you will be overseeing the marketing activities in Tanzania and implement our global strategy to the Tanzanian market.   You will be a part of the department located in Dar es Salam. You may also… Read More » The post Marketing Manager Tanzania at SPENN TANZANIA LTD appeared...
Share:

Humphrey Polepole Ampiga KIJEMBE Sumaye Baada ya Kupigwa Chini Uchaguzi CHADEMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amempiga  kijembe  Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye baada ya kubwagwa kwenye Uchaguzi wa Kikanda ndani ya CHADEMA “Nimesikia Mzee Sumaye hata Uenyekiti sijui wa “Kitongoji” wamembwaga huko Pwani, alipokuwa...
Share:

Sales & Marketing Officer at Europlast LTD

Job Summary Europlast LTD is one of top,well-established Manufacturing company. We are seeking to higher highly distinguished and innovative Sales & Marketing Officers. Minimum Qualification: Diploma Experience Level: Mid level Experience Length: 3 years Job Description Attributes Fluent in English and Kiswahili proficiency. Must have a Skype Account(necessary for interviews)...
Share:

Country Transformation Manager Job at Plan International

Country Transformation Manager Job Opportunity at Plan International, Career Opportunities: Country Transformation Manager (36994) Req ID 36994 – Posted 18/11/2019 – Country (2) – Programme Strategy Job Description Print Preview The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the...
Share:

Jumia Yafunga Biashara zake Tanzania

Mtandao wa biashara Barani Afrika umefunga biashara yake nchini Tanzani ikiwa ni siku chache tu baada ya kusitisha shughuli zake nchini Cameroon Kulingana na taarifa iliyopatikana imeeleza kuwa Jumia imefunga shughuli zake nchini Tanzania ili kuwekeza rasilimali katika masoko mengine Taarifa hiyo...
Share:

Geographic Information Systems Expert & Health Management Information Systems Specialist, Jobs at ICAP Tanzania

Geographic Information Systems Expert & Health Management Information Systems Specialist, Jobs Opportunities at ICAP Tanzania, Deadline 15 December 2019 Health Management Information Systems (HMIS) Specialist, Tanzania Job no: 492297 Work type: Regular Full-Time Location: Tanzania – Dar es Salam, Tanzania – Kagera, Tanzania – Kigoma, Tanzania – Mara, Tanzania – Mwanza, Tanzania – Pwani, Tanzania...
Share:

Product Development and Evaluation Specialist at One Acre Fund in Iringa, Tanzania

Tanzania – Product Development and Evaluation Specialist at One Acre Fund in Iringa, Tanzania Position: Tanzania Product Development and Evaluation Specialist Seeking an exceptional qualitative research professional with 3-5 years of experience who can drive actionable trial and scale recommendations for trial products About One Acre Fund Founded in 2006, One Acre Fund supplies smallholder farmers...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger