Thursday, 22 October 2026

MC DIZZOO ATWAA TUZO YA MC BORA WA KIUME MKOA WA SHINYANGA 2026

...

 

Mshereheshaji maarufu kutoka Shinyanga Mjini, JAPHET .D. HENRY almaarufu kama MC DIZZOO, ameibuka mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kiume Mkoa wa Shinyanga kwa mwaka 2026 katika usiku wa fahari wa MDAU SHUPAVU AWARDS & JOINT GALA uliofanyika Oktoba 20,2026 wilayani Kahama.

MC DIZZOO ambaye ni sura inayotambulika katika shughuli mbalimbali za kijamii na za serikali mkoani Shinyanga, amsshinda tuzo hiyo kwa kura nyingi kutoka kwa mashabiki na wadau wa tasnia ya ushereheshaji.

Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi, MC DIZZOO amesema:
"Ushindi huu ni wa wanashinyanga wote. Nawashukuru sana wapenzi wangu, familia yangu, na waandaaji wa Mdau Shupavu Awards kwa kutambua kazi yangu. Hii ni chachu ya kufanya zaidi."

HUDUMA ANAZOTOA MC DIZZOO

MC DIZZOO anapatikana kwa shughuli zote za ushereheshaji kwa weledi mkubwa:

1.  Birthday Parties - Sherehe za siku za kuzaliwa
2.  Send Off - Sherehe za kuaga
3.  Kipa Imara - Mashindano na matamasha ya michezo
4.  Tamasha / Festivals - Tamasha mbalimbali za burudani
5.  Mahafali - Mahafali ya shule na vyuo
6.  Harambee - Michango na harambee za maendeleo
7.  Corporate Events - Shughuli za makampuni na taasisi
8.  Itifaki - Uongozi wa itifaki za kiserikali na kijamii
9.  Public Announcement - Matangazo ya hadhara
10. Marketing & Brand Ambassador Kutangaza biashara na chapa

MAWASILIANO

Kwa booking na mawasiliano, mtafute kwenye mitandao yote ya kijamii kwa jina moja tu: MC DIZZOO


WhatsApp / Call: 0626383804
Instagram | TikTok | Facebook | Threads: @MC DIZZOO

MC DIZZOO - people's choice

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger