
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VURUGU
kubwa zimetokea wakati wa Uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam
mara baada ya uchaguzi huo kuhairishwa tena kwa mara ya nne leo,huku
Jeshi la Polisi likivamia ukumbi wa Karimjee na kuanza kupambana na
Madiwani na wabunge wa Muunganiko wa umoja wa...