Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akilia kwa uchung...
Wednesday, 28 May 2014
UKATILI: BABA AMPAKA MWANAE PILIPILI MACHONI, AMCHAPA VIBOKO, NGUMI NA MATEKE HADI KUFA

JESHI
la Polisi mkoani Geita, linamshikilia William Kibyala (40), mkazi wa
Kijiji...
MTUMISHI WA IDARA YA AFYA AKUTWA KAFIA GESTI
Mwili wa Marehemu Munuo ukitolewa katika Gesti hiyo
Mtumishi
wa idara ya Afya katika halmashauri ya mji wa Kaham...
UKIONA HAYA UJUE UYO MWANAMKE NI MTAMU KITANDANI

LEO NINAKULETEA MADA FLANI NILIYOIPATA KWA KAKA FLANI KUHUSIANA NA UZURI NA UTAMU WA MWANAMK...
MAJANGA!!..MREMBO ANASWA KAVAA NGUO ZA KUAMBIANA

AMA kweli duniani kuna sarakasi!
Takribani siku kumi tangu alipofariki dunia aliyekuwa ‘kichwa’ kwenye
filamu za Kibongo, Adam Phillip Kuambiana (38), mrembo aliyejitambulisha
kwa jina Mary Njombe amenaswa na nguo za staa huyo wakati mali za
marehemu hazijagawanywa.
Mary Njombe aliyenaswa...
Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar Wanachosha, ni Mzigo

Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara
ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy
ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao
kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko
uwezo wao na wakati hawachangii...
MAJANGA!!..MREMBO ACHANWA NA VIWEMBE KWA WIVU
INASIKITISHA sana! Stela Mbinga ambaye
ni mke wa mtu, mkazi wa Tegeta - Kontena jijini Dar amepata balaa kubwa
baada ya kuchanwachanwa uso wake kwa viwembe na jirani yake
aliyefahamika kwa jina la Zakia Mohamed.
Stella Mbinga akiwa na majeraha ya viwemb...
Adam Kuambania alimtabiria Rachel Haule atajifungua mtoto wa kiume na amwite Kuambiana

Ikiwa ni wiki moja tangu afariki na kuzikwa kwenye makaburi ya
Kinondoni, msanii na muongozaji wa filamu, Adam Philip Kuambiana,
imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo chake alimtabiria msanii
mwenzake ambaye kwa sasa ni marehemu Rachel Haule kuwa atajifungua mtoto
wa kiume na kumtaka...
Mhm!!..AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA

MSANII wa
filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso
kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na
kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya...
MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA
FEDHA inaongea!
Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la
Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi,
mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda.
Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita...
Monday, 26 May 2014
AANA...!! PICHA ZA UCHI ZA DENTI WA CHUO KIKUU NCHINI ZAVUJA MTANDAONI...NA KUZUA GUMZO KUBWA ....!!

Ma
denti waishio hostel wana kila aina ya vituko, Haya yalio tokea hivi
karibuni. Simu iliokotwa chuoni ya denti mmoja wa kike ikiwa na picha za
uchi walizokuwa wakipigana wenyewe hostel, picha hizo zimevuja kwa
kasi.
PIA KUMBUKA KU LIKE PAGE YETU UPATE MATUKIO ZAIDI KILA SIKU
...
LUNGI WA BONGO MOVIE AACHIA MWILI WAKE WAZI KUONESHA TATUU

MAKUBWA! Baada
ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika
kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi
wake ambaye hakutaka kumtaja.
Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga...
NIKKI WA PILI: SIJAWAHI KUMTUNGIA NGOMA JOH MAKINI
UNAPOZUNGUMZIA makundi ya Hip Hop yanayofanya vizuri kwa sasa ni wazi utalitaja kundi moja maarufu kutoka pande za Arusha, Weusi.
Nickson Simon (Nikki wa Pili) baada ya kulonga na Global TV Onlin...